Muigizaji mwenye mvuto wa aina yake bongo, elizabeth michael , maarufu kama lulu, ametua nchini Nigeria kwenye sherehe za ugawaji tuzo za Africa viewers choice awards(AMVA 2016) zinazofanyika...
Habari zilizonifikia Punde kutoka maeneo ya kibamba anakoishi Waziri Mkuu Mstaafu ndg Fredrick Sumaye.Jana alifanya Sherehe nyumbani kwake na wapambe wake wakisherehekea kuangushwa kwa bwana...
Beef ya @zarithebosslady na @wemasepetu inasemekana eti imerudi tena, kama unakumbuka awali Zari alimshutumu Wema Na Team Yake kwa kumdhihAk Tiffah Kuwa ni zombie na c mtoto wa Chibu kwa damu...
Hii ni hafla iliyohusisha wachezaji wa Genk na mashabiki wao,ilikuwa na kupiga starehe mpaka kucheee...Mbwana Samatta katikati ya mashabiki wa Genk wakila "bata"
CAIRO – Finding serenity in Islam, a former
beauty queen of Democratic Republic of
Czechoslovakia has reverted to Islam, settling
down in Dubai where she works.
According to a report by Al Quds...
Ney wa Mitego amesema kupitia Clouds TV kwamba Mali anazomiliki na fedha bank thamani yake ni zaidi ya billion 1, hii mi nakataa Ney hawezi kuwa na utajiri huo, akawadanganye wajinga, kwa show...
Nyota wa filamu za Bollywood Sanjay Dutt amewachiliwa kutoka jela katika mji wa magharibi wa Pune nchini India.
Dutt mwenye umri wa miaka 56 alihukumiwa kifungo jela kufuatia makosa ya kumiliki...
Kupitia Account yake ya Instagram Belle 9 Amepost Picha ya DiamondPlatnumz na Kuporomosha Matusi ya Nguoni
================
================
Belle 9: Mimi sina tatizo na Diamond, ni baada ya watu...
(SAIGON)Huyu jamaa moja ya hip hop artists wakali kibongo bongo, mara ya mwisho nimemuona akihost dance%
Yuko wapi na anafanya nini sasa hivi? Pia msaada jina la account yake ya instagram...
Suge Knight is making accusations fueling rumours about the controversial death of Tupac Shakur. In an interview on TMZ, the former Death Row Records CEO not only claims Sean 'P.Diddy' Combs is...
Hivi karibuni kiungo wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu ya Southampton Victor Wanyama alimtaja mwanamuziki wa kizazi Alikiba kwamba ndio muimbaji anyemkubali zaidi kutoka nchini...
Wiki iliyopita kupitia mtandao wa Instagram,Blogger Mange Kimambi alimshambulia kwa matusi Aliyekuwa Miss Tanzania Hoyce Temu kwa kisa ambacho hata hakihusiani nae.Vilevile katika kashfa na tuhuma...
Kwenye ligi ya Serie A ambayo inaonekana Live kupitia king’amuzi cha Startimes imeshudia mchezaji Lorenzo Insigne akifunga mara 11 kwenye mechi za msimu huu.
Mchezaji huyu wa Napoli amekutana na...
Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa...
Kwanza kabisa natoa pole kwa wafiwa wote kwa msiba wa msanii John Walker.
Pili nasikitika kusema nasikitishwa sana na ambavyo mbunge wa Mbeya mjini Mr Sugu alivyomtelekeza John Walker kiasi...
kufuatia wema sepetu kutoka na mkongo na picha zake kuzagaa mtandaoni siku chache baada ya kupoteza ujauzito wake kitendo kilichopelekea mpenzi wake idriss sultan kuanza kurusha vijembe snapchat...
Aliyekuwa shabiki namba moja wa muigizaji wema sepetu(Team wema) , matilda au maarufu kama matikibokoyao ametoboa moja ya siri ya aliyekua boss wake kuwa huwa anakopa nguo kwa mfanyabiashara...