Hiyo ni baada ya jana Ney wa Mitego kupost instagram picha ya Shamsa Ford nakuandika "happy valentine"
Ndipo kupitia ukurasa wake Shamsa akaonyesha Ku panick
Hata hivyo baada ya Shamsa kupost...
Kwenye wimbo alioshirikiana na AY kuna mstari anasema '' singida-dodoma kitandani sodoma'' misho wa kunukuu
Karibun wana janvi tueleweshane kijana wetu alimaanisha nn?
Nilimsikiliza huyu dogo jana katika kipindi cha Amplifier cha Millard Ayo pale clouds fm, kuhusiana na sauti yake kuvuja akiwaponda TIP TOP na management yake kwa ujumla.
Kwanza dogo hakuikataa...
BAADA ya mvutano wa muda mrefu, hatimaye diva wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ amepewa talaka rasmi kwenye Mahakama ya Manzese, Sinza jijini Dar.
Jide alifungua kesi ya madai ya talaka...
Image copyright Tina Knowles. Instagram Image caption
Beyonce na wacheza densi wake waliovalia kama wanachama wa Black Panther
Waandamanaji watatu walijitokeza katika mkutano wa kumpinga nyota wa...
Ok, happy valentine wadau wa macelebrity wakibongo,
Najua wote tumekua tukisikia mambo kadha wa kadha yakiendelea kuhusu ujauzito wa miss Tanzania mwaka 2006 (pichani) mara hivi mara vile. Hali...
Image caption Kanye West
Albamu mpya ya mwanamuziki Kanye West imepakuliwa kutoka mtandaoni zaidi ya mara 500,000 kulingana na kampuni ya kupakua kanda za video na sauti Torrent Freak.
Msanii...
Juzi kati Kanye West alikiri twitter kuwa ana deni la dollar million 53, na alimuomba mark Zuckerberg 1 billion U$ dollars ili a-invest kwenye ideas zakey
Naona spending habits za hawa black...
Image copyright
Image caption Kanye West ametoa albamu mpya
Kijana mmoja nchini nchini Marekani anatarajia zawadi kutoka kwa mwanamuziki Kanye West baada yake kufanikiwa kujibu swali lake.
Dante...
Yupo anahojiwa na akina Gardner, Seth na Mpoki.
Anawachana na kuwashikisha adabu wazee wa mikorogo, team kibisa, wala bata wanaolala kwenye gari n.k.
Stay tuned
Image copyright Reuters
Image caption Kanye West alisema majuzi kwamba anadaiwa $53m
Mwanamuziki Kanye West amemuomba hadharani mwaanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ampe usaidizi wa kifedha...
Habari zilizonifikia hivi punde na kuthibitishwa na chanzo huru kinataarifu msanii John Walker ameagaa dunia leo alfajiri akiwa hospitali ya Muhimbili alikofikisha kupatiwa matibabu.
Walker...
Rapper anayejulikana kwa kurap kama mlevi, John Woka, amepata ajali ya kulipukiwa na mtungi wa gesi. Kwa sasa amelazwa kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Walikuwa...
Diamond Platinumz “Kwenye Mitaa!!!....Molah nakushkuru kwakuwa naamini hizi zote ni baraka zako.... ila tu niwakumbushe ndugu zangu kuwa "Kuku hata umlishe nini kamwe hawezi kunyonyesha!"...
Samatta na Kiba kwa sasa ndio maarufu zaidi ndani ya Bongo waliofanikiwa kimataifa, Kiba alifanikiwa kimataifa kwa kutoa singo na R.KELLY na Samatta kafanikiwa kwa kupata timu ya ulaya ya GENK.
Angalia video hii alafu fananisha na ile Make me sing ya dai na AKA
Mimi akili na macho vinaniambia bado ni vitu viwili tofauti. Ila bado kuna watu wanasema braza kateleza naomben ufafaanuzi.