Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hata kama mambo mengine yalikuwa hayaendi sawa lakini katika fani hii wewe ulikuwa hakuna mfano. Ni burudani tosha.
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wamiliki wa mitandao ya kijamii, ambao wana followers wengi na hivyo kujipatia LIKES za kutosha wataanza kulipwa kwa kila LIKE wanayopata. Thamani ya LIKE moja inaanzia Tsh 2/- hadi Tsh 10/-...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Yule mdada kiuno bila mfupa! Rehema Chalamila a.k.a Ray c Ameahidi kupambana na Global publishers mahakani kwa madai ya kuzushiwa habari katika ukurasa wake wa insta ameandi haya Seriously kwa...
3 Reactions
60 Replies
10K Views
Hivi kwa nini mastaa hasa wa kiume wanapendwa na kina dada wengi, wazuri, wastaarabu lakini hawako tayari kuwa nao ila wako tayari kuwa na mahusiano na mastaa wenzao hata kama wanatabia mbaya, n...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Zikiwa zimepita siku kadhaa toka Idris Sultan kuweka wazi kumpa ujauzito bidada Wema Sepetu kupitia katika account yake ya Instagram Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa Idris amempa heshima na...
3 Reactions
192 Replies
41K Views
Linah leo amefunguka kuwa anampango wakufanya Collabo na msanii wa Nigeria Wizkid,Linaha amefunguka kuwa alilazimika kutafuta contact za Wizkid na kuanza kuchat nae na kuomba kufanya nae Collabo...
1 Reactions
76 Replies
16K Views
Samanthajannsen @idrissultan I think you and I have had this discussion a few times and you know as well as I do that I don't want you and that we better off as friends. With that being said I...
5 Reactions
34 Replies
8K Views
yeye kutumia hilo neno la nigga kwenye page ya instagram sijui anaona sawa,wakati ndo keshaingia kwa watu ambao asihangae siku moja wakalitumia akiwa uwanjani,meneja wake amuambie a edit,aandike...
0 Reactions
64 Replies
11K Views
Diamond kupitia tuzo za Bingwa zinazotolewa nchini Kenya ameibuka kifua mbele akimuacha Balozi asijue la kufanya zaidi ya kutoa macho kijana akichukua tuzo ya Tanzanian Artist of the Year...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Closed
4 Reactions
104 Replies
23K Views
Mwimbaji maarufu David Bowie amefariki leo baada ya kusumbuliwa na cancer kwa miezi 18.. Atakumbukwa kwa mengi. Alikuwa mume wa Iman kwa wanaomjua..
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamaa nilidhani kashapotea mazima maana kwa mda mrefu hajasikika, ila kwa huu wimbo mpya alioutoa unaitwa 'Mama Kijacho' naamini utamrudisha, audio nzuri, video iko simple inaendana na maudhui...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Ukitembelea page za Mastaa mbalimbali kwenye social media,,, kwa bongo na nje / intenational celebrities... Wengi huwa hawa reply comments za mashabiki.... Swali mi najiulizaga ni kwamba huwa...
0 Reactions
119 Replies
8K Views
Nimekuwa nikiona wasanii wengi wa filamu, mitindo na muziki wakijitokeza kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii kama vile kusaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu, kuhamasisha siasa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
“NIMEKUCHAGUA wewe, uwe wanguu… Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana, sijali maneno ya watu, wasememayo, yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja…” Hicho ni kibwagizo cha Wimbo Nimekuchagua Wewe...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
Diamond platnumz ameonyesha ofisi yake ili kuwapa nguvu vijana wanaotafuta wasikate tamaa muhimu ni kujituma. Diamond ameonyesha picha alipotembelewa na mama yake ameandika'' guess who visited in...
12 Reactions
46 Replies
15K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Leo imenibidi tu nisemeee. Huko Insta watu wana kazi ya kumshawishi Wema zaa, zaa,mara...
12 Reactions
472 Replies
49K Views
Diamond Platnumz amesema akiachana na Muziki anataka kuwa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ili kuweka vitu sawa na kutoa fursa zaidi kwa vijana. Akizungumza katika kipindi cha Papaso...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Kwanza kabisa naomba niwajuze wale wasiomfahamu nifah... Mimi ni mkweli na mwenye msimamo mkali. Huwa nasimamia katika kile ninachokiamini bila kuogopa wengine watapinga vipi au kunichukulia vipi...
11 Reactions
173 Replies
21K Views
Akizungumza kwa hasia na Ayo TV Alhamisi hii, Diamond alisema anawashangaa wasanii wanaotumia muda mwingi kumponda mtoto wake kuliko kutafuta pesa. “Watu wamekaa kwenye sanaa muda mrefu mimi...
6 Reactions
98 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…