Huyu ni msanii ambaye kwakweli ameiletea sifa nyingi sn Tz Na Africa kwa ujumla .
Lkn nyimbo zake hata hazina dakika tano najiuliza kuhusu kina Marijan Rajabu nyimbo zao zilikuaa ndefu Na bonge...
Awali ya yote nipende Kutoa Shukrani zangu za kipekee kwa mwenyezi Mungu kwa kunilinda wiki nzima hata nmepata nafaSi yakuwepo tena leo hii hapa Jukwaani
leo tuna angaza jicho kwa wakali hawa wa...
Hivi Inaingia Akilini Kwenu Mtu Ambaye Anajua Fika Kuwa 90% Ya Watanzania Ni MASIKINI Wa KUTUKUKA Ambao Kila Siku Tunahangaika Kuutafuta Mkate Na Sometimes Tunalala Tu " Kavu Kavu " Na Kupiga "...
Nyota wa muziki Bongo fleva maarufu kama Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa "Utanipenda" anategemea kwenda kufanya maajabu nchini "Swedeni" ambako atakanyaga stage moja na mkali...
Jamani ndugu wana jf,hivi huyu mtangazaji wa Radio Free aitwaye Fredrick Bundala au Sky Walker yuko wapi?maana siku hizi simsikii akitangaza,je ameacha kazi au yuko wapi?
Tuko njema wadau?
Nazani kila uchao Hawa manguli Wa game lazima watajwe tu tutake tusitake. Hiki kisa ndo kilichonifanya niweke bando niingie JF leo .
Tunakumbuka tiGo Concert show-2015? Wasanii...
Ipo wazi kwa sasa muziki wa bongofleva ni wa Diamond Platinumz. Uku kukiwa na Kiba pembeni anayesimama kwa nguvu ya Diamond anae survive kwa ushindani aliotengeneza unaofanya watu wanamkumbuka...
Kingwendu: Ningepewa airtime ningekuwa level moja na Diamond na Alikiba
Mchekeshaji maarufu nchini, Kingwendu amesema kama nyimbo zake zingepata promotion ya kutosha, angekuwa anashindana na...
Nilisikia huu utaratibu kwamba watakuwa wanalipwa pindi nyimbo zikipigwa redioni. Hivi ni pesa ngap? Inafika elfu hamsini kwa siku ? Ama kuna utaratibu gani unatumika?
Mi naona hamna realistic...
G nako na huu wimbo wake mpya sijamuelewa, ni aina gani ya Music??
Kwa hali hii siamini kama ataweza toboa, atabaki kuwa bora kwenye kushirikishwa tu..
=======
Mawingu na manyunyu ya hapa na...
Wimbo mpya wa kaka mkubwa kwenye gemu AY zigo remix iliotoka jana video yake, nimeona mabadiliko kwa Diamond amerap kidogo na nyimbo ameinogesha.
Kazi nzuri kwa vijana wetu.
Nataka kujua baba tifa, analipwa bei gani kwa show za ndani na nje kwa sasa, ukizingatia anatembea na team kubwa kwa ss, wapiga picha, DJ, dancers na pia ana mameneja watatu, tafadhal
Hivi huu mfumo wa kuwalipa wasanii ukianza kila wimbo unapopigwa msanii analipwa ni wasanii wangapi watasurvive?
Mi naona tutawapoteza wasanii wengi sana, sioni mtu kama 'Ruge Mutahaba' akubali...
Msechu ambaye ametoa video ya ‘Malava’ hivi karibuni inayoonekana kuwavutia wengi kutokana na jinsi alivyoutumia unene wake kufanya video ifurahishe, amesema kuwa watu inabidi wafahamu kwamba...