Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii na hifadhi ya taifa Diamond Platinumz amepata nomination ya best African act katika tuzo za MTV Europe awards zitakazofanyika Milan Italy. Diamond amepita bila kupingwa pamoja na Davido...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
Siku chache baada ya kumwanika mchumba' ke , raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye tayari amemvisha pete ya uchumba, mambo yamekuwa siyo mambo kwa staa wa filamu za Kibongo , Jacqueline...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
7 Reactions
187 Replies
24K Views
Mr Nice ameponea chupuchupu kupoteza maisha baada ya kudai kula chakula chenye sumu. Mr Nice akiwa amelazwa hospitali Kupitia ukurasa wake wa facebook Mr Nice ameandika:Mungu ni wakutumainiwa...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Afya ni majaliwa ya Mungu,leo kundi la OK linasimama majukwaani kwenye kampeni za ccm hata kutoa post mitandaoni za kudhihaki afya ya Lowassa wamesahau yalimpata mwenzao Vengu? mwaka wa nne leo...
14 Reactions
107 Replies
19K Views
Jionee mwenyewe. ============ Mashabiki wa Diamond Platnumz wavamia ukurasa wa Neyo wa Twitter Baada ya MTV kutangaza Neyo atakuwa jukwaani kwenye utoaji wa tuzo za MTV mashabiki wa Chibu...
0 Reactions
514 Replies
62K Views
Wasanii kibao dizaini hawajampa support ya kutosha Dogo Aslay hasa kipindi kigumu cha kufiwa na mama yake mzazi..
1 Reactions
24 Replies
8K Views
pwilo cute b Shardcole nifah
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Msanii wa kundi la yamoto bendi dogo Asley amefiwa na mama yake mzazi. Source: timesfm page yao fb, R.I.P mother
0 Reactions
55 Replies
24K Views
Kuna tofauti gani,kati ya msanii mkubwa na underground mkubwa
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Zimepita ziku chache tangu Ikulu iandae sherehe kubwa iliyoitwa ya Rais kuagana na wasanii, ambapo katika sherehe hiyo wasanii mbalimbali wa filamu na muziki walihudhuria na kuungana na viongozi...
11 Reactions
28 Replies
9K Views
Nazikumbuka Tungo za R.O.M.A "Uchafu wa Mrisho, unamfanya Benja aonekane msafi" "We ni mkwere wa Chalinze ambae hautomsahau Mnyakyusa, Mwakyembee alowafunisha Monduli siasa" "Wameacha tizi wakaoa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
daaa kweli diamond anawakati mgumu sana nimepita kule tweeter nimeona anaomba apigiwe kura amebaki akiambulia matusi ooh nenda lumumba oooh pale jangwani mbona ujamwambia wakina weka mbali na...
8 Reactions
179 Replies
19K Views
Hii ni TOP 10 kati ya video za wanamuziki wa Afrika 2015 zilizotazamwa zaidi Youtube.. Na kati ya mafanikio anayoweza kujivunia mwanamuziki, ni suala la youtube ambapo inaonyesha;- + Ni jinsi...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine ya kushirikiana na mastaa mbalimbali wa Afrika akiwemo Wizkid wa Nigeria, kurekodi wimbo wa kampeni ya Umoja wa mataifa, ‘United Nations Global Goals...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kichwa cha bongo fleva, kinazidi kutuwakilisha vema anga za kimataifa, na hii ni zamu ya MTV EMA ambapo huwa wanachaguliwa wasanii bora watano tu!! wa kwenda kujumuika na wasanii wa marekani...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu! Mbali na team ya Diamond kuendesha propaganda na uongo wa kila namna katika mchakato wa upigaji kura wa tuzo za Nigeria Entrainment Awards (NEA), kuwa eti Mashabiki wa Diamond wamepiga...
3 Reactions
195 Replies
17K Views
Yule mtangazaji na Dj mahiri wa kike wa kipindi cha XXL kinachorushwa na kituo cha redio ya watu Clouds Fm amekua kimya mda mrefu sana sijamsikia akitangaza, Je ameshasepa hapo mjengoni? Na kama...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Msanii Ali kiba amenogewa na ccm na kuomba kampeni zifanyike mwaka mzima ambapo jana alikuwa morogoro katika kampeni za kumnadi Magufuli kuonyesha jinsi alivyopania izi show baada ya kukaa na...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oct - 2015, wasanii mbali mbali walijitokeza kuunga aidha UKAWA au CCM. Ni ukweli usiopingia CCM imekusanya kundi kubwa la wasanii...
6 Reactions
36 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…