Jay Z‘s got a (bubbly) new product hitting the market, and it comes at a hefty price.
Last November, the mogul purchased the Armand de Brignac champagne brand, taking control of one of...
Nilitaka kujua wadau kuhusu hawa jamaa wawili yaani KING GK kwa hapa bongo na NE-YO kule unyamwezini, hawa jamaa toka nianze kuwafahamu, iwe kwenye interviews au videos, au picha, sijawahi kuona...
The late Tomy Mboya alikuwa ni muumini mkubwa wa ujamaa ambaye alitamani kuiona Kenya ikiwa socialist country hata hivyo mpaka anaivuta pumzi yake ya mwisho ndoto yake haikutimia.
Siku za hivi...
Diamond Platnumz anaendelea kupata nominations za tuzo mbalimbali ndani na nje ya Afrika, ambapo hivi sasa amechaguliwa kuwania tuzo mbili za International Reggae and World Music Awards (IRAWMA)...
Nakupa ushauri mdogo wangu Nikki wa II. Nimeona nikupe taarifa mapema kabla hujapotoka. Katika kipindi hiki kuwa makini, hata kama unapenda sana CCM au umeahidiwa chochote.
Muziki wako...
Nyumba anayoishi Ali Kiba,Kunduchi. (Picha kwa hisani ya Millard Ayo)
Ali Kiba ametimuliwa katika nyumba ambayo alipewa aishi maeneo ya Kunduchi, Dar es Salaam na mmiliki wa nyumba hiyo ambaye ni...
Msanii Mzee Mussajee Karimjee,aliyecheza movie ya Uwa La Matumaini(flower of hope),amefariki na kuzikwa leo Tanga.
Alicheza kwenye nafasi ya Ubunge,na baba wa mtoto wa kike aliyependana na...
Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
Katika pita pita zangu katika mitandaoni nimekutana na huu ujumbe katika page Shilole kuomba msaada achangiwe ina maana mziki haumlipi.?
Au ndo kuna matapeli wanatumia fursa.?
Mwenzenu sikuwahi kuwa na mazoea ya kuangalia movie zetu za hapa nyumbani kwa maana mara nyingi huwa actors wana overdo hadi nikawa naboreka. sasa last weekend kwa kufuata ushabiki wa watoto...
Hatimaye staa wa bongo Nassibu Abdul (Diamond) awa baba baada ya mchumba wake Zari kujifungua mtoto wa kike asubuhi hii.
====
====
Ama kweli dunia ina mambo! Wakati wengine wapo Instagram...
Rest in peace a Brooklyn MC Sean Price, who died in his sleep. Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa Hip Hop huyu jamaa ni one if the illest MC na kuna wasanii wa nyumbani kama kina Nikki Mbishi...
Wakuu,
Nimekuta hii post kwenye account ya fb ya Mganga huyu maarufu wa kienyenyi nchini TZ Manyaunyau, baadhi ya picha zinamuonyesha akiwa kwenye mjengo wake wakisasa na nyingine akiwa...
Nilipata kumsikia one day akihojiwa kwenye kituo x cha redio akisema "you know,mimi ni kioo cha jamii"
Hivi wewe binti unaelewa maana ya kioo cha jamii?
Kuonesha miguu yako ya rangi mbili mpaka...
Binafsi sijawahi kusikia inshu hii ya website-kupotea kisa wingi wa kura anazopigiwa msanii, Kitendo hichi kimetokea Leo baada ya website ya NEA AWARDS kupotea hewani kutokana na wingi wa kura...
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen aka JB amesema amesikitishwa na mfumo wa elimu ya Tanzania baada ya kushindwa kumpata mtanzania wa kushika nafasi ya masoko kwenye kampuni mpya...