Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wakuu habari zenu: Hii ni list ya wasanii wanaongiza pesa nyingi Africa Mashariki.. 1.Daimond 2.Saut sol 3.christina shusho 4.Ali kiba 5.Bahati 6.Lady wanjara 7.jose chameleone 8.Bahati Ila mimi...
0 Reactions
44 Replies
15K Views
Wadau naombeni mwenye namba ya cmu ya wema sepetu ani pm pliz niipate mapema.
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Wanamwita mzee wa zaidi ya habari. Napenda uchambuzi wake kwenye kipindi cha Morning Magic. Ni mchambuzi na mtafiti wa kweli. Wadau tupeni details za huyu mwanahabari. Anaweza kuwa role model wangu
0 Reactions
36 Replies
15K Views
Habari zilizosambaa leo kutoka kwenye gazeti moja zinasema familia ya Diamond pamoja Na marafiki walishangazwa na kitendo cha Diamond kuzipeleka tuzo saba alizoshinda kwa Wema Sepetu badala ya...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Kuna jamaa wa B-hits anitwa Deddy, mimi nikimsikiliza naona anajua sana, hata ukisikiliza nyimbo alizoshirikishwa ana style yake flani ya tofauti. Amesikika kwenye ngoma ya Mabeste ya Ndole...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Akiwa anazungumza kwa madaha katika kituo cha Magic fm kipindi katika kipindi chao cha michezo huku muda mwingi akitumia kuiponda Simba, na haswa viongozi wake na haswa akimlenga msemaji mwenzie...
2 Reactions
64 Replies
16K Views
ATLANTA - Channel 2 Action News has learned Bobbi Kristina Brown, 22, daughter of the late Whitney Houston, has died. Her aunt, Pat Houston, told Channel 2 Action News in a statement: "Bobbi...
2 Reactions
83 Replies
14K Views
Nimekuwa kwenye wasiwasi na hii mikufu ya dhahabu wanayovaa Macelebrity wetu hapa Bongo, wachanga na wakubwa. Tena kwa size mbali mbali mpaka nyingine zinaelemea shingoni, ndiyo ni fashion ya sasa...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Ni wasanii gani Tanzania wanaoishi maisha ya ukweli kwenye mitandao ya kijamii? Ni wapi pia ambao wana hadhi ya kuitwa superstars? Manake kila msanii hujiita superstar sijui kwa kutumia vigezo vipi?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Msanii Nuhu Mziwanda amerekodiwa akimtongoza Wema Sepetu what a bad week for Shilole.
2 Reactions
58 Replies
21K Views
Apata followers 304,000 sasa akiwapiku wale waliokuwa wakimupiku ambapo JM KIKWETE alikuwa akioza na kwa sasa ana followers 303,000 akifuatiwa na ZITTO mwenye followers 300,000 ila kwa EAST AFRICA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Drake is going after Meek Mill and this time with a vengeance, ripping on his manhood for being girlfriend Nicki Minaj's opening act.The song -- titled "Back to Back" -- is actually his second...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
  • Closed
Umofia kwenu wana JF, Meneja wa wema sepetu(beautiful onyinye) martin kadinda yupo mbioni kufunga ndoa na mchumba wake! Stay tuned. ~~~~~~~ Mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda, amesema kuwa...
1 Reactions
21 Replies
17K Views
Ni mbunge wangu aliyemaliza muda wake lakini tokea Uchaguzi Mkuu sijamtia machoni kabisa, isije kuwa mabomu ya kamanda Siro yalimkumba.
0 Reactions
120 Replies
26K Views
On Instagram: @Thebestfetty; "Zilitoka mixtape za matusi za ANTI VIRUS vol 1 na 2, BASATA ilikaa kimya na ilitoa kibali cha uzinduzi wa anti virus volume 2, Viwanja vya posta, licha ya...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Ametangaza kujiondoa kwenye bongo movie unity kisa umoja huo unahusisha mashoga pia. Source:mwanaspoti.
0 Reactions
61 Replies
19K Views
Jamani ni aibu......... Ben Kinyaiya jana alitaka kupiga picha na Drogba pale uwanja mpya wa taifa.....lakini akivyosukumwa na watu wa security......ni aibu kwa jinsi alivyodondoka...
0 Reactions
55 Replies
19K Views
Uchunguzi uliofanywa hivi majuzi kuhusu mtizamo wa wasanii wa tz towards sera ya usenge, imebainika kwamba, baadhi ya wasanii wa kiume, hasa wale wanaopenda kuvaa heleni, chachandu/shanga...
3 Reactions
38 Replies
10K Views
Leo asubuhi nilikua nasililiza redio Efm, mtangazaji simkumbuki jina zamani alikuwa mtangazaji wa East africa radio kipindi cha Friday night live. Aliplay ile nyimbo ya Tanzania Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…