Sexy lady anayefanya poa na ngoma yake ya Leo Leo, Jokate Mwegelo ' Kidoti ' , amemlipua aliyewahi kuwa mwandani wake , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz ' ambaye hivi karibuni alimwita...
wakuu bongo kuna majembe ma 4 tu katika bongo fleva nayo ni K4REAL, JUMA NATURE,JIDE KOMANDOO NA SUGU,haya majembe ni nouma hatari yanajulikana usipimie yaani jamaa ukamua mbaya mbovu jukwaani. je...
Leo kijana wetu mpendwa, kijana anayeipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika Tasnia ya muziki katua katika jiji la masamaki yale matamu matamu, Mwanza. Kinachoonekana hapa chini kwenye picha...
Watu wengi ambao wamejikuta wakipata watoto wengi kwa wanawake tofauti, wanatafsiriwa tofauti kwenye jamii. Wengine wanaonekana siyo makini katika suala la kujilinda kwa maana ya matumizi ya...
Wengine tuko mkoa, zimeendaje nimesikia tu watu wanasema Millard, Salim Kikeke, Ladyjdee, Alikiba, Wema wamekinukisha vipi uko ni kweli?
Mwanamuziki wa kiume anaependwa - ALI SALEHE KIBA...
Katika wasanii wote waliopata tuzo, hakuna ata mtu mmoja aliyenyanyua kinywa chake na kuthubutu kulalamika kuhusu tuzo ya lady jaydee , unadhani ni kwa nini lady jaydee anapendwa? Je ana scandal...
Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri...
Bridal shower ilifanyika wiki iliyipita nyumbani kwa Klyn na Mengi…
Mambo ya high tea….
Mambo ya kwa queen hayooo
Mashosti ndo kama hivyo walinogesha...
Huwa nasikia kichefu chefu na kutaka kutapika nikipitia page za hawa jamaa Instagram....Hebu pitieni mpate angalau motivation jamani, lakini onyo nenda na limao usitapike bure....
Jembe ndo...
There's something cooking. Yawezekana ni muendelezo wa Alikiba kukaa vitu vilivyofutwa vumbi na Dangote Mr. Diamond Platinumz. Eti kaka Alikiba kaambiwa akikaa viti hivi na yeye nyota yake...
Habari wana JF,
Luther Vandross Snr,aliyezaliwa mwaka 1919 alioana na mpenzi wake wa utotoni Mary Ida(Aliyezaliwa 1922) akiwa na umri wa miaka 27.Vandross snr na Mary walibahatika kupata watoto...
Umofia kwenu JF,
Nilikuwa namuangalia Sam Misago na wageni wake ambapo mmojawapo ni msanii giggy money. Kiukweli mavazi anayovaa hayana maadili yoyote na EATV huwa wanampenda sana kumuweka, yaani...
Msanii wa filamu Aunt Ezekiel ambaye hivi sasa ametibuka kutokana na ujauzito mkubwa alionao, ameeleza kuwa kila saa na kila siku anamuomba Mungu amjaalie ajifungue salama maana maneno ya watu...
Umofia kwenu wana JF,
Alfajiri mishale ya saa kumi ya jana ilikuwa siku mbaya kwa kundi la kina French Montana,NWC baada ya member mwenzao Chinx kufariki dunia kwa kumiminiwa njugu za kutosha...
Just asking...
Ni kweli wengi wamerambwa sana na maprodyuza wao?
Ni kweli kila baada ya shoo kuna jamaa amekaa siti ya nyuma anasubiri kwenda kupiga mzigo the whole night na nyie mnashangilia...