Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wana Jamvi, Katika vitu vya ajabu angekuwepo mashindano ya kupenda , wasanii wa kike wangeliongoza kwa mbio kali za kupenda, labda pengine ni kwa sababu ya mazoe aya kazi yao ya kuwa kwenye...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mambo vp wanajamvi?nategemea mko poa na asante mungu kwa kutupa fursa na nafasi ya kukutana tena humu ndani,kiukweli wasanii wa muziki nchini inabidi wabadilike ili kuendana na soko la muziki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sina kumbukumbu sana kuhusu hili, hivi ni wasanii gani hapa bongo walioana pamoja na wanaishi pamoja mpaka sasa? Naomba kufahamu hao wasanii walioishi kwa pamoja mpaka leo. Anayejua atujuze
0 Reactions
57 Replies
11K Views
The annual fundraising gala in New York costs $25,000-per-ticket Beyonce ensured the best was saved till last as she was the final guest to arrive It comes one year after the singer's husband Jay...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wasalaam wana jamvi.. Wana jamvi ni wazi Duniani kuna vituko vingi lakini kwenye hivi vituko hatuwezi kuisahau tanzania kabisa! Lakini hivi karibuni msanii wa kizazi kipya H.baba baada ya kukosa...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
Kuna ule msemo unasema kuna watu wanaishi na wengine wamekuja kusindikiza wanaoishi.. Yawezekana kukawa na ukweli ndani yake. Mtoto wa miaka miwili (2) wa Rapper wa kimarekani 50 Cent anayeitwa...
3 Reactions
44 Replies
15K Views
Wakuu naomba kuuliza huyu jamaa yuko wapi?
0 Reactions
24 Replies
13K Views
Anajulikana kwa jina la Seky, alikuwa muajiriwa tanzanite one. Kafariki leo inasemekana alikalia stuli ya kioo ikapasuka na kumjeruhi mgongoni. ========== Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga...
3 Reactions
1K Replies
304K Views
Last May, shortly after word began to spread that Dr. Dre had sold his eponymous headphone line to Apple AAPL -2.25%, the superproducer made a proclamation: rap's first billionaire was about to be...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zilizoripotiwa na clouds kwenye page yao ya Instagram wanasema usiku wa kuamkia leo majambazi yamevamia nyumbani kwa Alli - Kunduchi, na kukomba kila kitu. Kwa bahati Nzuri, Kiba hakuwepo...
0 Reactions
85 Replies
21K Views
Achilia mbali umri kuwatupa mkono, achilia mbali mastaa hawa kuzaa ila bado mienokano yao inadai, namzungumzia mjasiriamali na mkurugenzi wa Bench Mark Production na founder wa BSS, Madam Ritha...
0 Reactions
95 Replies
23K Views
Kwa wenzangu mliopata kadi za bure mtaungana namimi, ileparty ilitakiwa kuitwa Diamond white party na sio Zari white party. Kwanini nasema hivi wengi waliitarajia kumuona Zari kama mhusika mkuu...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Tumeshuhudia baadhi ya watangazaji wa Radio wakiandaa matamasha yao binafsi kuwatumia baadhi ya wanamziki kutumbuiza. Hivi hii inaruhusiwa na mabosi wao au inakua part ya mikataba yao na mara...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJamii, I hope mko vizuri jumamosi hii. Jana ile party iliyokuwa inasuburiwa kwa hamu EAST AFRICA nzima ZALI ALL WHITE PARTY ambayo ilifanyika pale Superbrand Hall Mlimani City Beibee....lol...
2 Reactions
130 Replies
25K Views
Huyu kipusa kanifanya nipende sana kuangalia taarifa za habari za Al-Jazeera. Huwa sichoki kabisa kumwangalia. Mdada ana ngozi nyororo yenye rangi ya chungwa. Acha tu niendelee kumfaidi...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau, Siku hizi Rose Muhando haonekani katika matamasha kama ilivyokuwa zamani na inasadikika hali yake ni mbaya kiafya. Wapo wanaodai anaumwa kwa sababu ya madawa ya kulevya (unga) na wapo...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Ndugu Zitto Kabwe atakuwepo katika kipindi cha Mikasi studio za EATV saa tatu na nusu usiku. Zitto Kabwe atazungumzia masuala mbali mbali ya chama cha...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Zikiwa zimebakia siku chache tu Pambano la karne kutokea, baadhi ya mastaa wameendelea kutupa karata zao. *Upande wa Manny Pacuaiao. kuna - Sylivester Stallone "Rambo" - Mike Tyson...
3 Reactions
89 Replies
13K Views
Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa Clouds FM, msanii Diamond Platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua Mei 1 kwenye Party ya Zari inayofahamika kama Zari...
0 Reactions
301 Replies
55K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…