Wakuu,
Kuna hawa wasanii wa kike wamekua wakiishi bila ya kuolewa na ikitokea wameolewa basi hawafikishi miezi 6 wanaachwa. mifano ipo kibao hapa bongo kuna huyu Komandoo lady na wengineo ya...
Hivi ule uchunguzi wa kama huyo binti alifanya udanganyifu kwenye nyaraka zake uliishia wapi? Ilitangazwa kuwa RITA ingefanya uchunguzi juu ya hizo tuhuma
Lakini baada ya hapo sikusikia tena...
binafsi napenda kumpongeza huyu kamanda kwa kurudi vyema kwenye gemu na ngoma ya shukrani ila kubwa zaidi nampongeza kuweza kumaintain sauti yake ya kurap tangu miaka ile mpaka leo ipo vilevile...
afya ya mama mzazi wa msanii maarufu DIAMOND si shwari baada ya kubadilika ghafla na kukimbiza katika hospital ya TMJ. wakuu maombi yenu yanatakiwa sana.
Hili lilikuwa jabali haswa la muziki! Uwezo wake wa kutunga ulikuwa wa kushangaza! Binafsi namkumbuka sana kwa muda wake alioishi na jinsi alivyotuburudisha! Mimi ni mpenzi wa R&B and hiphop...
Akihojiwa katika Kipindi cha Mkasi cha EATV mwishoni mwa mwaka 2014, Msanii Mkongwe wa vichekesho na mchekeshaji bora zaidi aliyewahi kutokea Tanzania, Amr Athuman almaarufu kama Mzee Majuto...
Mwanamuziki mkongwe na aliyekuwa mume wa mtangazaji maarufu, Gardner G habash, Judith Wambura Mbibo aka Lady Jaydee, ameongea kwenye kipindi cha Power Jams kinachorushwa East Africa radio kwenye...
Natoa ushauri wa bure kwa wasanii wetu kina Diamond, Ney, Kiba, Kingwendu, JB, Wolper na wengineo waende English Course ili angalau watoe kazi kwa lugha ya Kiingereza au Kifaransa. Tunafahamu...
Kuna siku nilikua nasafiri na basi moja toka mkoa moja, njiani si konda kaweka CD, mwimbaji Nyuki wacha aanze kata viuno! Nilikua nimekaa na mama moja wa heshima nilijiskiaje aibu..
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji' ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wACanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo...
Hivi inakuaje binadamu anamkataa mtoto wake?.Chris brown amechanganyikiwa kabisa tangia ajue mtoto ni wake.
Amemuomba huyo mama wa mtoto ahaime ili aweze muona mwanae.
Sasa Kama wewe umo humu...
Kenya Police band play Tanzania's Diamond Platinumz song "You are my number one" during a luncheon at the end of the 16th East Africa Community Heads of State Summit in Nairobi, Kenya, on...
Nuh alitupia picha hiyo hapo chini nakuweka ujumbe huu "Mtoto Mbichiii namla kiulaini".
Mbongo flava nuh mziwanda pamoja na kukumbwa na kichapo mara kwa mara wadakuzi wa michepuko wamebaini...
Kama ulikuwa hujui basi naku habarisha, mastaa ambao wameshibana kwa sasa, namzunguzia wema sepetu pamoja na aunty Ezekiel, hapo awali waliwahi kuingia kwenye bifu zito kisa kikidaiwa kuwa ni...