Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi.
Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy.
Huyu ndio future ya muziki wa...
Catalonia's top court on Thursday found former Barcelona /Brazil footballer Dani Alves guilty of sexual assaulting a women in a Barcelona nightclub in 2022.
Sentencing him to four and a half year...
Yaani mdada kama Poshqueen ni mtu wa ku fall in love na mwanaume, hahaaaaa tena mwanaume mwenyewe Harmonize.😂
Baadhi ya wanawake (wengi wenu) mmetisha, mkiona mwanaume ana hela, mnajua kuigiza...
1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele
2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio...
Hawa ndio list ya madj bora kabisa katika kipindi hiki
1:Dj d ommy kijana anajituma sana anapiga kazi Clouds fm na pia ni award winning dj Afrimma
2.Dj mafuvu,the turn table master previously...
Mitaa inakuaminia sana mwana unajua kuchana. Siku hizi watoto wadogo wanaleta dharau sana! Ngonjera zimekuwa nyingi, wanapewa tu "airtime". Fanya kweli muhuni urudi kwenye "mainstream".
Nikimuangalia Nandy namuona kama mwanangu kwa umri wake. Ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana na pia ndiye msanii pekee wa kike nchini mwenye Personality nzuri sana.
Ninatamani kuona siku moja...
Nyota huyo wa Muziki wa R&B kutoka Marekani, amesema albam itaitwa "11:11" na itakuwa na nyimbo 11, tofauti na ilivyozoeleka katika albamu zilizopita ikiwemo 'Heartbreak' on a Full Moon, Indigo...
Kuna msanii simkumbuki jina aliimba wambo wa rafael. baadhi ya mistari ninayo kumbuka ni;
"ninamna gani, ni jinsi gani tutawin maishani mpaka siku tunasema buriani, ni jinsi gani yesu wangu...
Tunaweza kusema kuwa Harmonize ni moja kati ya wasanii wanaomuenzi mchezaji machachari wa PSG Achraf Hakimi kwenye harakati za kukwepa kuibiwa mali na Wanawake wa mjini.
Range Rover ya Msanii...
Haji Manara amemuandika ujumbe wa Valentine mke wake kipenzi Zailyssa na kuwarushia Dongo waliosema kuwa penzi lao halitodumu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika,
"Happy...
Wanabodi,
Nimepokea taarifa kuwa Mtangazaji Maarufu wa RTD, (sasa TBC), ABISAY STEVEN, amefariki dunia asubuhi hii.
Mpashaji habari wangu amesema msiba huo umetokea katika hospitali ya Muhimbili...
Kweli mvumilivu hula mbivu na Kimya kingi kina kishindo. Bi dada baada ya kusimangwa sana anapenda bata na hana uwekezaji, hatimae ameonyesha mjengo wake mpya wa maana.
Mwanamama huyu maarufu...
Kuna marehemu Omary Kopa. Alikuwa na sauti, mbunifu na mtunzi mzuri kwa wakati wake. Bahati nzuri au mbaya yeye alichagua upande wa mama yake. Taarabu.
Yupo mwingine sitamtaja kwa vile hajaamua...
Chawa na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, ame mtahadharisha msanii Diamond Platinumz kuwa asije kuthubutu akainua mkono wake na kumpiga kwani atamuumiza vibaya mno.
Kupitia ukurasa wake wa...
Waungwana baada kuhangaika kwa muda mreefu sana kutafuta nyimbo ya mwana hiphop na mtangazaji Babuu wakitaa bila mafanikio nimeona nijisalimishe jukwaa hili!!
Nyimbo inaitwa NANI ANAYEWARUSHA...
Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk
Amina Chifupa...
Ukizungumzia wasanii wakali wa Hip Hop ulimwenguni hauwezi kuacha kutaja jina la Rapper Kendrick Lamar.
Kendrick Lamar ameshachukua tuzo kubwa za Grammy na ameshafanya ngoma ambazo zinaendelea...
Baada ya Baba levo kusimulia chanzo cha ugomvi wake yeye na Harmonize, kuwa ni chipsi alizopewa CASINO kiasi cha Milioni 10 ili agawane nawenzie ambao alikuanao hapo casino ambao kati yao...