Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Aiseee nimepitia mitandao kadhaa pamoja na page ya bwana mkubwa Chriss Brown aisee ni sheeda, kamchana huyu bi dada karrueche, naskia kagonoka na Drake. Pitia clip hii Youtube juzi ijumaa kwenye...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
habari za jumapili wana jamvi.hiki kundi la wanamuziki lililotamba kwa jina la wagosi wa kaya na nyimbo zao kama ;tanga kunani pale,walimu,wauguzi na trafic ..wako wapi vijana hawa mana walikuwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MTANGAZAJI Bongo, Penniel Mungilwa ' Penny' amefunguka kuwa kamwe hawezi kuwagombanisha marafiki wa damu , Wema Sepetu ' Madam' na Aunt Ezekiel , baada ya yeye kuingilia urafiki huo ...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
MCHUMBA wa Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ' Masogange ' aitwaye Evance Kom juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa msichana huyo amemsaliti baada ya kuvunja...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Dah! hapa imetoka kupigwa dangushima, dogo anabana sana pua its so annoying. Huyu dogo ki ukweli sauti hakuna ni pua kwenda mbele. Jamani please wekeni Top 10 ya wabana pua tuwajue, wanaboa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa nasikia wimbo wa umri wa TMK Wanaume Family nikamsikia the late YP akichana ndio nikaanza kuwakumbuka majembe ya bongo fleva ambao hawapo tena hapa duniani. Nimemkumbuka Geez Mabovu...
0 Reactions
30 Replies
12K Views
Wakuu habari nilizopata muda muda huu kidogo za kushtusha, sipati picha itakuwaje, mkuu Nyani Ngabu kama unadondoo huko tuletee.
0 Reactions
53 Replies
16K Views
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza . Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
huyu jamaa kaishia wapi baada ya kuachia lile song la nishike mkono kawa kimya zaidi tu nlimskia kwenye ngoma ya stamina ya mwambie mwenzio.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
By Associated Press Published: Dec 5, 2014 at 12:12 PM PST Last Updated: Dec 5, 2014 at 12:12 PM PST PLEASANTVILLE, N.J. (AP) - Rapper Beanie Sigel was...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rose Ndauka amewatega mashabiki wake kwa kutupia picha ya kidole chake chenye pete ya uchumba kwenye mtandao wa Instagram kuashiria kuwa amechumbiwa “Kweli picha ni yangu, mimi ndiye nimeiweka...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Stori: waandishi wetu Madai mazito! Pamoja na kutumia nguvu kubwa kukanusha kwa miezi kadhaa, bado staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, anaendelea kugandwa na madai kwamba, amenasa...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Mpaka sasa hivi amechukua tuzo; 1. Most gifted New-comer 2. Most gifted Afro-pop 3. Most gifted video of the year In what may be seen as a stroke as of bad luck or a decline in the quality...
4 Reactions
413 Replies
56K Views
Miaka 15 ya Wale jamaa wa Mjengoni, 88.5. ========== Leo Nimewasikia hawa watangazaji wabunifu na Machachari wa Radio hii ya Clouds FM ambao waliacha kazi muda mrefu sasa. Waliitwa kwa ajili...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimemuona huyu jamaa mitaa ya Sinza makaburini leo, it's been a looong time, kakonda, kadhoofika sana , hali mbaya sanaaa, unga umemchukua, hajiwezi , hali ni mbaya sana, na muda huo namuona...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Mpiga drams maarufu nchini, aliyepata kupiga kazi na bendi Extra Bongo, Martine Kibosho, ambaye ni ndugu moja na mpiga drams wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', James Kibosho, anazidi...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa nae...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Ile project ya Diamond itahamia Uganda hapo tarehe 18 December kwenye Zari white party inayofanyika kila December. Mgeni rasmi atakuwa Diamond. Wakati huohuo Wema nae atakuwa akiserebuka kwenye...
7 Reactions
238 Replies
30K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwana bongo fleva Ally Kiba Tumtakie maisha marefu na yenye baraka N:B Sitarajii kama huu utakuwa uwanja wa Kupambanisha watu tumtakie tu Ally Kiba heri ya siku/tarehe...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Huu ni utafiti wangu na maoni yangu mimi ( Money Stunna) Utafiti huu umeangalia wanawake mbalimbali ambao msanii diamond alikuwa nao kwa kipindi tofauti hakuna ambao aliomsaidia zaidi ya Wema...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…