STAA wa filamu za Kibongo, Blandina
Chagula ( pichani) maarufu kama Johari, hivi
karibuni alidaiwa kuonekana akiingia
nyumbani kwa mganga wa kienyeji ( jina
linahifadhiwa) katika Kijiji cha...
Najua wewe ni mrembo sana ,una exposure na una pesa.Sawa wanasema mwanamke bila mwanaume haiwezekani ila kwa mimi naona inawezekana.
Jana nimekuona sehemu fulani Kinondoni umelewa sana sana,hivi...
Hawa madogo huleta mzozo kila majibishano yao yanapoanza wengine wanamkubali Young Dar es Salam na mtaa wa pili wanamsoma Young Killer Msodoki.
Tumalize mjadala humu humu ndani nani mkali?
Hahaha muzeee wa project a.k.a msaniii bora East africa A.k.a ngazi ya waliopotea amechaguliwa kwenye Le project mpya ya We are the world africa
Projekt hiyo imewashirikisha wasanii wote bora...
Hatimaye Lady Jaydee amethibitisha kwa kauli yake mwenyewe
kuwa ndoa yake na mtangazaji mkongwe wa redio, Gadner G
Habash imevunjika.
Akiongea leo kwenye Exclusive Friday ya kipindi cha Sunrise...
Baada ya uvumi kuenea kuwa, ndoa ya muigizaji kiwango bongo, Irene Pancras Uwoya imevunjika, wawili hao walinaswa Live Airport nchini Rwanda wiki iliyopita, ambapo mke huyo wa Ndikumana alienda...
Jamani mimi hii picha nimeipenda, alafu huyu mama kanichapa sana fimbo mkononi dah!!!
Gazeti la Mwanchi la Dec 2, 2007 limemkariri Rais Jakaya Kikwete akisema; "Baada ya kupima na kuingia kwenye...
jamani tujuzeni sisi wala bata.. Inasemekana kuna club moja matata inafunguliwa siku si nyingi maeneo ya usa river. Mwenye kujua atujuze wa mikoani maana hata kuna rafiki yangu wa Mwanza kaniambia...
Kati ya watoto wakali ninaowakubali apa mujini basi huyu ni nambar One, mtoto mkali utadhani nini, i wish ungeingia bongo movie uwakimbize, maana im sure hakuna ata mmoja atakayegusa level zako.
Tusubiri yatakayojiri humo ndani mi nasubiria lugha atakavyomwagika kingereza.Ni tofauti na nilivyoona Dimond yuko vizuri sana nmemkubali sana tisha Dimond asante kwa kuwakilisha vyema,waliomuona...
Kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza: je, ni kweli Mkuu wa mkoa wa Mwanza Dr. Alex James Msekela(Pia Mbunge wa Tabora Kaskazini), kuwa wamekuwa wakisumbuliwa na nyoka katika nyumba yake. Inadaiwa kuwa...
Since way back sikuwa napenda kusikiliza Clouds FM kwa sababu ya style yao ya uongeaji hasa Adam Mchomvu, B12 na wengineo, so nikawa a big fun of Choice FM always nawasikiliza, ila kuna watu...
Msanii kutoka Uganda, Jose Chamelleone.
Msanii Jose Chameleone wa Uganda amekanusha habari zilizoandikwa mitandaoni kuwa amemuomba Diamond Platnumz kufanya collabo.
" Siko katika level ya kuomba...
Binafsi nampenda kweli kulingana na kazi yake anaweza sana kuigiza, pia hana tabia za ajabu.,wakuu nyinyi mnamuuonaje huyu muigizaji wa kike anayejiheshimu.Fungukeni hapa
Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania.
Mmiliki...
Wana Jamiiforums habari zenu?
Duh! huyu dada wa kwenye tangazo la Airtel Switch ON nampenda sana mnisaidie anaemfahamu zaidi kaolewa au bado yupo hewani?
Tafadhali sana nisaidieni wadau...