Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake. Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, “OF...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans amedhihirisha kwamba ana mahaba niue kwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ' Ray ' kwa kulinadi jina lake hadharani kwa kuvaa t - shirt iliyoandikwa Ray Kigosi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu Wanaukumbi. Wadau wa sanaa, kwa siku mbili hizi nilizokuwa na shughuli kadha wa kadha mitaa ya Mikocheni (Shoppers Plaza) nimepata pishana kama kusalimiana na Msanii huyu nguli wa Hip...
1 Reactions
97 Replies
17K Views
Kuna fan wake kule Twitter kamwambia awe anahudhuria kuchukua tuzo. Unajua alichomjibu, Kwani zimeshafanyika? Hivi kweli huyu dada hajui kuwa zimefanyika na Tuzo kapewa? Team Anaconda inabidi...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Hivi hawa wasanii wa hiphop kuna hata mmoja mwenye gari? Ukimtoa binamu na Jay? Hapa na maanisha WEUSI, FID Q, KALA, STAMINA, ROMA, JCB, JAY MO na wengine wengi.
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Wasalaam wanajamvi. Kati ya watu ambao hawakufiri kama msaanii Chid benz angeweza kurudi vyema kwenye ulingo wa muziki Mimi ni mmoja wapo maana nilihisi kama huyu mtu amesha changanyikiwa na...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
  • Closed
Wasichana wa bongo, keep your bodies na afya nzuri. Nimemuona Salama Msangi anavyoonekana, sio afya jamani. Jikubali na maumbile alio kupa mwenyezi. Lazima mtu ajikondeshe kiasi hicho kweli...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
Hii kitu sijaelewa naona wasanii kibao wa mamtoni wakijibizana,ina maana gani hasa? wanaojua elezeni basi maana naona wasanii wakubwa wanapeana tu hiyo challenge ya kumwagiwa maji.
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao. Akiongea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika ukurasa wa Instagram mrekebishatabia aliandika hivi:- Yes. Kuna watu hawaelewi kwanini au why now.. tunampenda sana Wema Sepetu binafsi mimi kama mrekebishaji sifurahii kuona mtu ambaye...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Pamoja na sifa nyingi ambazo amejizolea mwanamuziki Naseeb Abdul "Diamond" ni kweli ana kipaji na pia anajituma katika kazi zake. Ila asisahau kwamba hatua aliyofika leo pamoja na kujitahidi kwake...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wote ni video director wa video za kibongo wakali sana ninaowaaminia. niambie mdau kwa mtazamo wako nani anasumbua sana kati ya hivi vichwa viwili? baadhi ya video za NISHER ni: Nje ya Box-...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mh. Samuel Sitta ambae anachuana na wana-CCM wenzake kupata tiketi ya kugombea urais kupitia chama cha mapinduzi kagundua kitu ambacho kitamleta karibu zaidi na vijana masister du na mabraza men...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nampenda sana Millard Ayo nilijua ana kitu cha tofauti tangu anaanza kazi ya utangazaji. Sio kwamba nilivutiwa na story yake aliyopitia. Jamani anastahili credit nyingi sana. Habahatish...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Wasanii hawa wabongo ukiwaona kwenye tv unaweza waona wanahela sana kumbe hawana lolote. Juzi kati hapa Hemed PHD pamoja na kulamba lamba lips zake alishindwa kuchukua GX 100 kwa milioni nne tu...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Kwanza muonekano wake haswa kimavazi haujanifuraisha. Anaelezea namna alivyo hodari kwenye soka. Aelezea kuwa Tid alitaka kumuua..ila kaiachia serikali. Anasema alikuwa kimya ili awe...
0 Reactions
57 Replies
11K Views
Hi Sporah! hongera kwa kuwa na kipindi chako kwa TV, ni hatua kubwa sana. Umeweza!! Japokuwa tunafurahia baadhi ya shows lakini nyingi zinaboa! Yeah unatafuta viewers lakini kwa njia ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Unapozungumzia wasanii wenye vipaji vya kutisha nchini Tanganyika huwezi kusita kumtaja kijana huyu Ally kiba. Ni msanii mwenye mvuto , sauti nzuri na haiba yake, siwezi hata siku moja...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Sina kawaida ya kuwafuatilia sana watu maarufu lakini huyu dada ananivutia sana na ninatamani nimwombe ndoa,hebu nisaidieni nampataje? Anaishi hapa nchini au ni diaspora(saivi naoana wanapenda...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…