Mabinti hawa wameshindikana kabisa,uhuni wanaofanya wao wanaona sifa, Ndikumana alileta ushamba wa Kinyarwanda hapa bongo akaparamia dege lisiloliwa,mwisho wa siku anajuta hana hata pa kushika...
Pastor Myamba na Mkewe Praxceda wakionyesha pete zao za ndoa
Sio muvi wala maigizo bali ukweli ni kwamba Mwigizaji machachari wa Bongo Movie anayezitendea haki scene za uchungaji, Pastor Myamba...
Baada ya kuwa kimya muda mrefuu bila kusikika kwenye vyombo vya habari, hakika kimya kingi kina mshindo mkubwa,
Hussein machozi Akiwa mombasa kwa ajili ya kushoot video yake msanii hussein...
Comedian Robin Williams dead, sheriff says
By Alan Duke, CNN
updated 7:47 PM EDT, Mon August 11, 2014
(CNN) -- Comedic actor Robin Williams died at his Northern California home Monday, law...
Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo amejiunga na Radio ya E FM ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana...
kutoka kushoto,Linex,Zitto Kabwe
Msanii Linex :
Katika hali ya kushangaza na ya kustua wengi,msanii maarufu wa muziki wa bongoflava kutokea mkoani Kigoma Linex, Ametangaza nia ya kuwania...
Ni hatua nzuri waliyofikia na hii inatuonyesha ni jinsi gani tunapaswa kuweka vinyongo pembeni na kusameheana.Hii wameonesha warembo wawili machachari wema a.k.a beautiful onyinye na jokate a.k.a...
MKALI wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema kuwa aliwahi kushuhudia staa mmoja wa filamu Bongo (jina tunalo) akijiuza kwa mgeni mmoja kutoka nje ya nchi na kwamba...
Stori: Erick Evarist na Sifael Paul
HII ni exclusive! Kwa mara ya kwanza, staa anayeitikisa nchi kwa sasa na wimbo wake wa Mwana, Ali Kiba amefunguka kuwa mwigizaji kiwango Bongo, Elizabeth...
Katika kuonesha ukaribu na vijana na utayari wa kutoa msaada wa hali na mali, Mbunge wa Kigoma Kasikazini Mh Zitto Zuber Kabwe amemtungia mashairi msanii wa muziki wa Bongo fleva hapa Tzee Linex...
Umofia Kwenu JF,
Kuna habari nyingi kuhusu huyu pedejhee kusaidia sana wasanii wa bongo flavor na mambo mengi yanayofanana na hayo,leo kupitia mkasi amekiri kwamba amekaa sana MOMBASA na huku...
Prizenta wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Radio Times FM , Hadija Shaibu ' Dida' ameonesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua magari mengine mawili kwa mpigo .
Dida...
Kumekuwa Na Mijadala Mingi Sana Inayojaribu Kuzungumzia Maisha Binafsi Ya Freeman A. Mbowe, Kubwa Ni Kuwa Amekuwa Akidaiwa Kumsaliti Mke Wake Aliyezaa Naye{lilian} Na Ikajengwa Hoja Kuwa Kama...
napenda kufahamu historia japo kwa ufupi tu ya huyu mtangazaji wa tbc taifa anaendesha kipindi cha ujumbe na mziki.
Ni moja kati watangazaji ninaowakubali sana kwa uwezo wa kuwasilisha na...
Wenye maduka ya nguo na saluni za kike wamewalalamikia Wolper na Lulu kwamba ni wakopaji maarufu na wasiopenda kulipa madeni yao.
Nasikia hata matengenezo ya kucha wanakopa. Hizi habari zimenza...
TASNIA ya filamu Bongo imepata pigo tena baada ya msanii aliyekuwa akichipukia kwa kasi, Patrick August ‘Bryton' kufariki dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki.Akizungumza na paparazi wetu...
TAARIFA KATIKA PICHA : AFYA YA BAHATI BUKUKU YAZIDI KUIMARIKA NA WALA HAJAVUNJIKA MGONGO
Hali ya mwimbaji wa nyimbo za injili Bahati Bukuku inazidi kuimarika na kuendelea vizuri kama GK...
Huyu ni msanii wa kike maarufu tu, na jina lake lilianza kukua zamani kidogo na alishaandikwa sana kwenye magazeti kwa scandal za kutoka na wanaume tofauti, ni mfupi mwenye rangi ya kunga'aa na ni...