Pole Flora!Inauma kusikiliza mdogo wako akikuelezea mumeo alivyo mbaka,si kumbaka tu hata kusikia ametembea na mdogo wako tu kwa kukubaliana naye.Binafsi nakupongeza kwa kututhibitishia wenye...
Mwanafilamu maarufu ktk bongo movie miss wema amewaasa vijana kuacha michepuko na kuwa na mpenzi 1, haya amezungumza kutoka ktk tamasha la kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa vijana...
While Kanye West is singing praises of his new wife, saying no woman on earth turns him on like she does, In Touch Weekly is reporting that he's left her after only 58 days of marriage..lol. Were...
sasa natafsiri feux de l'amour.
samahani kuna baadhi ya maneno ya kifaransa nitaandika kama yanavyotamkwa bt sio kama yanavyoandikwa
Feux de l'amour
Feux de l'amour…. De l'amour est-ce...
Huwa nawasikia. Kwa kiswahili kizuri (si fasaha) hawajambo. Tatizo huja pale wanapotamka maneno ya kingereza, ni aibu. Nashauri waajiri wawe wanatilia maanani hii lugha pia maana hao watangazaji...
Steve Mangere, maarufu kama Steve Nyerere katika kipindi cha wasanii na siasa cha StarTv jioni hii amesema wasanii na wanasiasa ni walewale maana wote wanaongea uongo 80% na ukweli 20%.
Pia...
Nimekutana na Msanii huyu mkongwe Tanga Stendi ya Basi jana tarehe 20/07/2014. Hali nilio muona nayo sikuamini macho yangu kwamba ni yeye!. Nililazimika kumfuata na kumsalimia. Nikamuuliza Tofee...
MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' na Baby Madaha baada ya kurushiana vijembe.
Awali katika gazeti la Amani toleo la wiki iliyopita, Baby Madaha...
MWIGIZAJI nguli katika tasnia ya filamu Bongo , Aunt Ezekiel aka cheusi dawa anadaiwa kuanza kusaka mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte .
Kwa mujibu wa rafiki wa...
Kwa wale wapenzi wa muvi za kinaijeria za zamani bila shaka mtakua mnamkumbuka huyu muigizaji. Nilipenda sana filamu aliyocheza inaitwa IZAGA.
Sijui yuko wapi mwenye taarifa zaidi anijuze kwa...
wadau wa mziki wa hiphop ya kiTZ (siku hizi bongo fleva kwa ujumla wake)mtakuwa mnamkumbuka
huyu brother.he was an illest mc ever btwn 1995-2002.kipindi hicho nakumbuka nilikuwa O-LEVEL na...
Habari toka chanzo cha kuaminika kilichopo ndani ya kanisa la mchungaji huyo ni kuwa Gwajima hivi sasa ameshauza karibia robo tatu ya mali zake na kwamba moja kati...
haya jamani tuisomeni vyema hii habari na tuangalie jinsi gani mzee misifa anavyotaka kukwepa lawama na kutaka kujisafisha kwa madudu alioyafanya.
Zitto aandika kitabu kuhusu Amina...
NYOTA wa Bongo Fleva , Rehema Chalamila Ray C
ambaye hivi karibuni aliripotiwa kupokea kipigo cha
maana kutoka kwa msanii mwenzake , Rashid Makwilo
almaarufu Chid Benz , ameibuka na kudai kuwa...
On her show's 'Hot Topics' yesterday, Wendy Williams dissed "Real Housewives of Atlanta" star NeNe Leakes for decorating her $10k Hermes Birkin bag with handwritten sayings she coined on the hit...
ILIBAKI kidogo mastaa wa sinema za Kibongo , Vincent Kigosi ' Ray ' , na Salum Mchoma ' Chiki ' , wazichape baada ya kutokea mzozo kati yao uliodumu kwa dakika tatu wakirushiana...
- Tarehe 2/8/2014 ninatayarisha bonge la bash LE Mutuz Instagram Party at Escape 1 Beach Club, wote mnakaribishwa isipokuwa wale tu walio followers wangu wa Instagram ndio wataingia bure baada ya...
BAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu ' Dida, ' mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden...
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Isaac Sepetu ( 25) aka mama ubaya, amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ' K' ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki.
Habari hiyo ya kuitwa mnafiki...