Wakuu wana JF,
Hivi huyu celebrate wetu, mtoto K'ndoni pale, ni yeye kweli au anatumia mchina siku hizi? Hivi mnauonaje unene alionao kwa sasa maana tofauti sana na alivyokuwa pale EATV, au...
Ni kundi liliotikisa katika ulimwengu wa r&b uko marekani katikati mwa miaka ya tisini,kundi hili liliundwa na akina dada Lisa lopes,T boz na Chill na albam yao iliowapa umaarufu mkubwa ni ile...
Nimeangalia video iliyowekwa mitandaoni inayomuonesha Yule aliekuwa mume wa Dida akihojiwa sababu za kuachana na mke wake.
Kuna hiki kitu amekitaja kimenivutia kdogo nidadisi
" Kwamba Mult choice...
Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga , staa wa Bongo Movies , Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli...
Habari zenu wanajamii,
Huyu kijana wa kuitwa Allan lucky alikuwa anafanya kazi EATV lakini kwa sasa jamaa kavuka boda anafanya kazi Kenya.
Kuna hichi kipindi cha Skonga EATV yeye ndiye alikuwa...
JAY Z and Beyoncé put on a united front when they performed on stage together this weekend.
The power couple's tour has been plagued with infidelity rumours, but Jay Z made sure to put an end...
Habari zenu bana!haya leo napenda kuzungumzia hili swala la ulipaji kodi
Kwenye tasnia ya mziki tanzania.leo in particular BONGOFLAVA! Haya ikiwa wafanya biashara wadogowadogo...
Mama mzazi wa star anayeipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa kwa sasa kupitia muziki, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana (July 11) alipata nafasi ya kuzungumza na Watanzania...
Siku ya jumapili ilikuwa ya furaha kwa wote walioweza kushinda tuzo la BET Awards, na pia ilikuwa siku ya vichekesho kwani MC ambaye alikuwa akiongoza shoo nzima Chris Rock alikuwa akiwashambulia...
Rihanna breaks FIFA etiquette as pop singer touches and kisses World Cup Trophy during Germany celebrations
Rihanna posted pictures on Twitter holding the World Cup Trophy alongside players...
Behind the Scenes Dk Hamisi Kigwangalla akifanya kipindi cha Mkasi, Hii Leo kuanzia saa Tatu na Nusu usiku Kipindi hiki kitakuwa hewani.
Tizama jinsi Dk Kigwangalla alivyozungumza Changamoto na...
WanaJF,
Mimi ni mshabiki sana wa muziki wa Tanzania na hasa muziki ule uliokuwa ukipigwa kuanzia miaka ya 60 mpaka mwishoni mwa miaka ya 90.
Kuna huyu mwanamuziki "nguli" ambaye kwa sasa yuko...
Wadau leo namzungumzia huyu mtu anaitwa Babu Tale, amekuwa akijichukulia sifa kwa madai kwamba ndo anayewapeleka artists kwenye next lever na kwamba ndo sababu za almasi kuwa juu kwa jitihada za...
Katika wimbo wake mpya alio mshirikisha Ben Paul. Mpoki anasikika akisema maneno yafuatayo :
" WATU WA BONGO MOVIE, WALA MSILALAMIKE KUPOROMOKA KWA MAUZO YA KAZI ZENU...
STAA wa filamu Bongo, Riyama Ally amesema katika maisha yake hajawahi kumtukana mwanaume pindi anapomtokea hata kama hamuhitaji, anamjibu kwa busara .
Akipiga stori na paparazi wetu, Riyama...
Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kuwa tangu mume wake Juma Kilowoko ' Sajuki ' afariki dunia , wamekuwa wakijitokeza wanaume kibao wakitaka kumuoa lakini...
STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006 /07, Wema Sepetu , uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai...
Agoma kufanya video ya wimbo alioshirikishwa,anasema hana nguo za kushutia na hayuko tayari kufanya video na director wa Kenya, anataka wa Nigeria/South Africa.
#Nawasilisha
Kama ambavyo Rais Kikwete alikutana na wasanii wakali wa Hollywood wiki kadhaa zilizopita, mmoja wa wasanii hao Terrence D. Jerkins maarufu kama Terrence J amesema anatua bongo Jumamosi ya tarehe...