Msanii kutoka pande za Naija aka Nigeria Davido aka Mr. Awards baada ya kuchukua tuzo za MTV, MAMA kama best male na ingine ile ya BET tuzo zote zikiwa ni za mwaka 2014.
Davido ameanza kuonesha...
Aisee jamaa yuko fit jamani,
Wanasema mwenye nacho anaongezewa nilichokiona Jana jamaa alikuwa anarushiwa dolla kama Yale makaratasi ya miatano pale leaders
Nilikuwa Serena hotel KGL tukaambiwa...
Mwanamziki mkongwe wa kimataifa nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi ametunukiwa tuzo ya tatu iliyobeba heshima ya udaktari kutokana na kuwa mshauri na balozi mzuri wa muziki.
Mwaka 2003...
davido kachukua tuzo ya msanii bora kutoka afrika,na hvyo kumbwaga tena Diamond platnumz beiby kama alivombwaga kule south kwenye tuzo za MTV,ambapo diamond alipata aibu ya mwaka kwasababu...
SIKU chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu.
Wawili hao wako kwenye mkakati mzito wa kuwasomea kisomo cha...
Wakuu japokuwa sina uhakika sana kama yule mpopo Davido kama alishiriki kwenye tuzo hizi, lakini the comfirmed news hadi sasa Diamond kashinda Kora Music Awards, kama the best male Artist in East...
Kwa wale waliokuwa watazamaji wa ATV(Abood Television)ya morogoro miaka ya tisini mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kulikuwa na wasanii waliokuwa wanafanya sanaa ya maigizo pamoja na mzee...
WHY I KISSED WEMA SEPETU?? HILO NI SWALI NIMEULIZWA NA WATU WENGI... AND NIMEONA BAADHI YA MAGAZETI YAMESEMA NILIKACHA SHOW NA KWENDA KUMBUSU WEMA.... KIUKWELI HUYU MSICHANA AMEKUWA AKINIPA NGUVU...
Mwonekano wa nyumba kwa nje!Eneo la ndani kwa jiko!Jide mwenyewe akijitanda sehemu ya mapishi!Sehemu ya mapumuziko!
Ney vs Jide nani katokelezea zaidi?
Pamoja ya kusafiri na designer wake kuna kila dalili msanii diamond karudia kuvaa koti la suti aliliovaa MTVAMA kwenye BET Awards. Au hilo koti limepitia kwa babu nini?
Alafu ameshindwa kuelewa...
Tamasha la 'TribeOne Dinokeng' limeandaliwa na ROCKSTAR4000 na Sony Music Entertainment na litafanyika tarehe 26 - 28 September
Alafu mnasema Ally Kiba hajui mziki kijana mambo yake anafanya...
dah kiukweli huyu DAVIDO (miaka21) anamtesa sana kaka yake Diamond Platinuma(miaka26)
1.Tuzo za MTV Africa Music Awards zilizofanyika KwaZulu-Natal Davido alifanikiwa kuchukua tuzo mbili ikiwemo...
KIMENUKA !
Siku chache kabla ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuanza, ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM , Khadija Shaibu ' Dida' na mumewe anayepiga...
Katika jambo lililotokea kama suprize flani hivi, kwa mara ya kwanza katika historia ya muziki wa bongo fleva, nyimbo ya Diamond Platnumz Mynumber1″ ilienda hewani jana kupitia television...