Baada ya BET sasa tunarudi hapa #Afrimma awards(AFRICAN MAGAZINE MUSIC AWARDS)zitakazofanyika jijin TEXAS mwez july 26th.
Diamond yupo nominated category 5.
Best male east afrika
Song of the...
Kiukweli hawa wapo juu zaidi ya diamond ila hawapewi promo kama anavyopewa diamond wanajua kuimba vizuri sana hawa hapa wafuatao
Ben Paul
Bell 9
Ally Nipishe
Barnaba
Ditto
Amini
Kama...
Angalau hawa ndio watangazaji mahiri na wenye uelewa tulionao sasa. Agness Mbapu.Florence Dyauli.Shaban Kisu.Paul James.Kibonde.Isaac Gamba.Scolastika Mazula.Molesi.Ana Peter.Omunene Ssebo.Sued...
Wadau,
Katika hali ya kawaida,tumezoea kusikia na hata kuona mtu fulani akitajwa kuwa bora zaidi ktk jambo fulani.Ni kawaida kusikia fulani ni bora zaidi,mfano ktk...
Ridhiwani ambaye ni mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete, kupitia ukurasa wetu wa Facebook ameweza kuelezea mambo mbalimbali yanayomhusu wakati akijibu maswali ya...
Habari zenu wakuu!
Naomba kujua huyu jamaa mahali alipo. Halafu alikua na studio yake inaitwz 'Tetemesha Records' kazi zake hata sizisikii. Pia niliwahi kusikia alivamiwa na majambazi sijui...
TABIA ya staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye...
Ikiwa tumebakiza miezi mitano tu tumalize mwaka huu 2014, scandals na matukio makubwa mbali mbali ya kufuraisha na kuhuzinisha yametokea kwa baadhi ya mastaa wa fani tofauti tofauti apa nchini...
Pole kwa yaliyokukuta but cha kujiuliza pamoja na kuwa kwenye game zaid ya miaka 10 (kwa ufadhili wa Flora) iweje leo unalia lia tu kwenye media kuwa Flora kakuacha?
Kwani huna kisomo, nguvu na...
Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anafanya kweli kimataifa, Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz ' ameandika historia kwenye Tuzo za Black Entertainment Television ( BET) 2014 huku akiwatia...
Forbes mtandao unaoaminika kwa kutoa list mbalimbali za uhakika hivi sasa wametoa list ya most powerful celebrities pamoja na pesa walizoingiza tangu June 2013 hadi June 2014.
Beyonce...
JF,..
Yule msanii na bingwa wa miondoko ya Afro pop music barani Afrika, Diamond yupo mbioni kuachia video zake 2 kwa mkupuo za nyimbo zake mpya, na inasemekana video hizo zimegharimu zaidi ya...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, huwezi ukasoma magazeti ya udaku ukakosa ugomvi wa wasanii na mambo yasiyofaa kwa jamii.
Jana kwenye vichwa vya habari vimejaza mwendelezo wa ugomvi kati ya...
MBALI na Askofu wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship, Zacharia Kakobe kuteswa na misukule inayodaiwa kufufuliwa na baadhi ya makanisa ya kiroho nchini, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi...
Kijana katisha,anabadilishana jasho na wakina Nelly.Hard work pays,hata kama kakosa tuzo zote potelea mbali ila he made it,mnaoponda mjifanyie tathimini
Diamond yupo jijini Los Angeles Kuhudhuria utoaji wa tuzo za BET jpil trh 29..na moja ya kitu ambacho itakua ni arama na kumbukumbu kubwa kwake,ni jinalake kuandikwa kwenye sakafu ya HOLLYWOOD...
Hivi karibuni kuna baadhi ya picha zimekua zikisambaa kwa kasi zikimuonyesha staa ambaye ni mdogo kiumri lakini anafanya makubwa katika tasnia ya filamu, picha hizo zinamwonyesha staa huyo akiwa...