Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

NIGERIA: Jeshi la Polisi nchini humo limeanza uchunguzi dhidi ya Nyota wa #AfroBeats, Davido ambaye anatuhumiwa kumnyanyasa Kihisia na Kumtishia maisha Mwimbaji #TiwaSavage Kwa mujibu wa taarifa...
3 Reactions
35 Replies
21K Views
Naandika huu uzi baada ya kumsoma kamikaze kwenye uzi wake: Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, Nini tunajifunza! If anything wasanii wabongo inabidi walalamikie ufinyu wa watanzania wengine nje...
59 Reactions
181 Replies
8K Views
Stori: Jelard Lucas na Makongoro Oging’ MTU akifanya jambo la kupita kawaida lakini zuri watu husema ‘amekufuru’, yaani amefanya kitu kizuri! Imezoeleka hivyo. Sasa kauli hiyo imekuja baada ya...
0 Reactions
100 Replies
24K Views
Huko nyuma, Stallone (rambo) kabla ya kuwa muigizaji alipitia wakati mgumu sana. Wakati fulani, alifulia sana hivi kwamba aliiba vito vya mke wake na kuviuza. Mambo yalikuwa mabaya sana hata...
21 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamaaa anaimbaaaa aiseee 🙌🙌🙌🙌 Huu ni ushauri kwa Harmonize 1. Punguza Bangi 2. Kuwa na creativity upande wa collabo. Achana na wasanii wa hapahapa. Mtafute hata lilbaby piga nae collabo la...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakati muziki wa rhumba / soukous Congo unapitia mabadiliko mengi ya vionjo, moja ya vitu vilivyonogesha ni kionjo cha kurap ambacho kiliongezwa haswa wakati nyimbo ilipokuwa inakaribia kuisha...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Mjue james Hardley Chase, kipenzi cha wapenda riwaya za kusisimua, aliyehamasisha wengi kupenda utamaduni wa kusoma vitabu na ung'eng'e Taja jia la James Hadley Chase na wahenga wenzangu wengi...
23 Reactions
43 Replies
21K Views
Nimekutana na kipindi kinarushwa kwenye TV, mtangazaji ni Mc Garab, Lulu Diva na wengine. Wale washiriki wanapatikanaaje? Je, ni bure mrembo unajitokeza tu, na inakuaje mpaka wadada wazuri vile...
2 Reactions
58 Replies
9K Views
Kumekuwa na maneno kuwa Harmonize akishirikiana na msanii basi ni lazima amkalishe, yani Harmonize ni mbabe kwenye Collabo anazofanya na wasanii wenzake. Kama tunavyojua Diamond ameshafanya...
3 Reactions
10 Replies
881 Views
Machawa wanaendelea kuneemeka kutoka kwa Matajiri nchini, angalia hapa jinsi Mwijaku na Babalevo wanavyopata pesa kiulaini. Joti kosa lako ni kutokuwa Chawa, kama ungekuwa chawa basi nawewe...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Hakuna kujivunga, hakuna kujificha,Nandy kaamua. Kiukweli mtumishi wa Mungu anahudumia watu wa kila aina, Nandy kesha hudumiwa na mtumishi wa Mungu, baraka zi juu yake daima. Hongera kwake.
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Akiongea na Waandishi wa habari Zailyssa amesema kuwa Mpenzi wake ameshakamilisha taratibu zote za kidini na kisheria kwaajili ya kumuoa, ikiwemo kujitambulisha nyumbani kwao na wazazi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu. Hii ni sawa ndugu zangu waislamu...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Ukweli unatuweka huru. Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake. Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz. Hongera mwijaku kwa kuwa...
13 Reactions
50 Replies
24K Views
Kufuatia picha waliyopost wasanii Harmonize na Marioo kuhusu ujio wa ngoma yao mpya, ningependa kumpa tahadhari Marioo kuwa Harmonize ni mtu mbad sana kwenye ngoma za kushirikiana na huwa hana...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa kawaida tushazoea kuwa kwa masilahi mapana na usalama wa Verse yako usijaribu kumtanguliza "Marioo" katika ngoma. Pia wewe kama msanii usikubali kabisa "Harmonize" akikutanguliza katika ngoma...
2 Reactions
2 Replies
605 Views
Mike Tyson disclosed a peculiar incident from the late 80's when he offered $10,000 to a zookeeper to fight a Silverback gorilla. Tyson known as "The baddest man on the planet" rented out a New...
2 Reactions
2 Replies
405 Views
Msanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu "Joti" ameandika maneno yanayotafsirika kuwa ni kejeli kwa watu wanaojitafuta kimaisha. Kupitia ukurasa wake Joti ameandika "Kuna umri ukifika...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…