Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wakuu Kwa watu wa mataifa mbalimbali wana sifa zao kila taifa.. Mathalani ukienda India aslimia kubwa ni uchafu, Ukienda China wao wanakula kila kitu kinachotembea ardhini na kupaa. Ukienda...
4 Reactions
12 Replies
844 Views
Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji. Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya...
22 Reactions
92 Replies
14K Views
Leo kwenye ibada ya Kawe kanisani kwa Mwamposa jamaa kaonekana kwenye TV akitubishwa. Ni hatua njema kwa Godfrey Tumaini. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
61 Replies
5K Views
Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo. Kafanya hivyo...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Wasalaam. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara. Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye...
9 Reactions
49 Replies
5K Views
D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa. Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana...
7 Reactions
67 Replies
4K Views
Wakuu tuwe makini sana ikibidi tuwe wajajusi hasa kwa Hawa wenzetu maarufu na hata ambao si maarufu kina sisi ...ukiwa faragha na mademu zetu kuwa jasusi sm zote off ukakuguzi wachumba na mwenza...
8 Reactions
63 Replies
8K Views
Katrina Kaif ni mwigizaji na mwanamitindo wa Uingereza na India. Alizaliwa mnamo 16 Julai 1983 (Ana miaka 40 sasa) huko Hong Kong na kukulia Uingereza. Wazazi wake ni mfanyabiashara wa Uingereza...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Hii nchi ina vijana mazezeta sana. Huyu mwanamuziki aliyetwaa tuzo huko Marekani alifika jana alfajiri saa 11 na ndege ya shirika la Uturuki, akabaki ndani ya uwanja huku akiendelea kuratibu...
47 Reactions
64 Replies
5K Views
Kwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea. Nikikumbuka kipindi anaanza kulikuwa na Tanzanite alidai kaibiwa nyimbo ya...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Labda kama nimepitwa kidogo. Moja ya wasanii ambao hawasemwi sana lakini personally naamini walikua gifted ni Godzilla. Najua kifo kipo kinatusubiria wote lakini huyu mwamba siku zake za...
1 Reactions
4 Replies
959 Views
Ni umbea nliopata insta, kama ni kweli basi vunjabei anajua kutumia hela yake vizuri, huu Uzi bila comment ya cocastic hautanoga
9 Reactions
131 Replies
12K Views
MC na mtangazaji Nguli anafaa kupewa tuzo maalum kwa kuwezesha vijana kufikia ndoto zao katika Sanaa. Hivi karibuni alifankiwa kuwezesha vijana yapata 20 kucheza filamu yao ya PESA MAKARATASI...
6 Reactions
120 Replies
9K Views
Wasanii wengi wanaofanya kazi zao mikoani huwa wanaishia kutamba hukohuko mikoani lakini wapo wachache ambao walivuka boda na kupata umaarufu nchi nzima. Uzi huu tuwataje wasanii waliofanya kazi...
7 Reactions
86 Replies
6K Views
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya...
131 Reactions
399 Replies
56K Views
Legal documents detail an agreement that has the 83-year-old Scarface actor paying over $30,000 monthly to support his youngest son. The court's mandate includes an initial sum of $110,000 to be...
0 Reactions
6 Replies
725 Views
Ndugu zangu. Narudia tena kwa mara nyingine. Usicheze kabisa na mtu aliebarikiwa na Mungu. Kind David, the King of the United Kingdom of Israel and Judah alikuwa muuaji lakini alikuwa chaguo la...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe Ni hilo tu Mungu wa mbinguni akubariki sana 😀
2 Reactions
8 Replies
543 Views
Hawa mabest wameshibana sana kama ilivyokuwa kwa Bonnie & Clyde.
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Kashfa za Unyanyasaji Kingono dhidi ya Wanawake zinazomkabili 'Rapa' Mkongwe Sean 'Diddy' Combs zimeanza kuathiri biashara zake hadi kumlazimu 'Puff' kuachia Uenyekiti wa Kituo cha Runinga...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…