Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Presha ya show kubwa za magwiji wa muziki hapa nchini MWANA FA "The Finest" na lady jay dee" miaka 13 ya jide" imezidi kupanda baada ya show hizo kutawaliwa na wanasiasa, Zitto alisema yeye...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Naongelea mazoezi ya viungo. Nilivyokuona kwa mara ya kwanza kupitia shindano la BSS, na baadae Tusker ya tatu na Tusker all Stars (ulikua umeanza kunenepa) na jinsi nilivyokuona juzi kupitia...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Mpekuzi blog waendesha kipimajoto kati ya Mwana Fa na Jay Dee show ipi utaudhuria. Lady jay dee kashinda kwa asilimia 80+ huku mpinzan wake akiburuza mkia
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu rahisi naona mgogoro huu ukimnyayua zaidi Jide kutoka utukufu hadi utukufu huku ukimuacha Ruge akijengea maadui.wengi zaidi, na wafuasi wake wakionekana ni wasaliti na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii inaweza kuwa aibu nyingine kwa upande wa wasanii wa bongo fleva,na ndio maana mnadharauliwa na watoto wa kike na kuitwa majina ya ajabu kama hayo ya mwanafatuma,nimekaa nikawaza nikapata jibu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Huu wimbo wa mpoto CHOCHEA KUNI mashairi yake yana ujumbe gani? "...chochea kuni .... muwaite mamluki...wakija wasubiri" "..mtu anatapika nyongo yake anarudia tena kuila mnamwangalia?"...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Inasikitisha kwa kweli
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu ni mtangazaji REDIO TUMAINI ya Dar, anaboa sana kwani anatangaza kwa kuvuuuuta sana maneno, Utasikia errr msikiiiii lizaji kaaaaaribu errrr katika kiiii pindi chaaaaa errr leo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati kikundi cha orijino komedy kikila shavu la udhamini,...naomba kuuliza alipo msanii mwenzao vengu( mzee wa kiraracha)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nani mkali kati ya hawa jamaa mana wote nawakubali haswa zembwela na maneno yake
1 Reactions
9 Replies
3K Views
BAADA wadau na mashabiki mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya kushambulia msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Mwana F.A katika mitandao ya Tweeter na Facebook kuhusu bifu lake na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni shabiki mkubwa wa muziki wa Bongo Flava haijalishi Hip Hop ama kuimba. Wote kwangu ni wasanii na siwabagui. Ni ukweli usio fichika kuwa kwa sasa huko tz nchini mwangu msanii Diamond...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
  • Closed
Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.
1 Reactions
70 Replies
8K Views
show imeanza, kikundi bora cha taarabu ni JAHAZI mtunzi bora wa taarabu ni THABHIT ABDUL mtayarishaji bora wa mwaka taarabu ni HENRICO, msanii bora wa kike ni ISHA MASHAUZI msanii bora wa...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
ALLY CHOKI NA ASHA BARAKA WATOA KAULI NZITO KUHUSU MISIBA YAO. Ally Choki MKURUGENZI wa Extra Bongo Ally Choki ametoa kauli nzito kuhusu waajiri wake wa zamani, Asha Baraka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maafisa Ushuru na Forodha Nchini Spain katika mji a Catalunya wamesema Mshindi wa tuzo ya Baloon d' Or mara nne mfululizo Lionel Messi anashukiwa pamoja na baba yake kwa kukwepa kodi na...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Naomba nianze kwa kusema, binadamu tumeletwa duniani si kwa ajiri ya kuleta matatizo, bali tupo kwa ajiri ya kutatua matatizo. Kuyakimbia matatizo hakujawahi kuwa suluhisho la matatizo hata siku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Shikamoo brother mwana fa??,naamini u mzima wa afya,wewe ni mwanamziki mkongwe tena msomi,hongera sana,kwani umeonyesha nia ya kutaka kujikomboa kimaisha,wewe ni kati ya wasanii classic apa...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
Hawa wadada walikuwa mabest sana,yaani wema sepetu snura mushi(mama majanga),ila baadae walikuja kuzinguana had kufikia hatua ya kutoleana maneno machafu kwenye vyombo vya habar,sasa leo nimesikia...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
1.Ikumbuke kuwa Jide aliwahi kufanya kazi ya Utangazaji ktk kituo cha Clous Fm Miaka ya nyuma sana.... 2.Awali Jide alikuwa ni Manager wa Luge..Baada ya Jide kuamua kijitoa na kusimam yeye kama...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…