Msanii machachali wa usa wa miondoko ile ya kufokafoka jay z yaani mumewe beyonce, atatinga bongo na kufanya onyesho matata pale dimond jubile tarehe 26 mwezi wa kumi. Msanii huyo atakua katika...
msanii wa muziki Judith Wambura..au Lady JayDee..kwa umaruufu..wake kwamba siku ya Jumatatu anatarajiwa
kufikishwa mahakamani katika mahakama ya wilaya ya Kinondoni......
akizungumza kupitia page...
Kwa kipaji na Umaarufu aliokuwa nao Star wa nyimbo za Taarab Bi. Kidude hapa na Nchini na nje ya Nchi yetu, Je yaweza akawa ni mwimbaji aliyepata kuvuma kuliko hata Sitti Binti Saadi!?
Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee na kwamba anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye...
wadau napenda kujua wapi aliko siku hizi mtangazaji maarufu nchini Julius Nyaisangah ambaye amewahi kufanya kazi ktk vituo vya Radio Tanzania Dar es salaam (RTD) na Radio one stereo?
Nilikuwa naangalia BGT (british Got Talent) mashindano haya ni mahususi kwa waingereza kutafuta kipaji chochote ulichonacho iwe kuimba,dancing, kucheza na mbwa na kila kitu unachokijua,(mwaka jana...
Who is jay dee katika nchii? Ana elimu gani au kipaji gani? Unaweza ukajibu simple kuwa alikuwa mtangazaji wa clouds je utangazaji alibebwa au alikuwa na vyeti? Nani angemjua jey dee bila clouds...
Nimekutana nae jana maeneo ya mwenge mtoto mzuri aisee sema kama anajichubua fulani ivi,kawa mweupeee..afu alikuw anapush toyota land cruiser,dah mtoto mkali aiseeh duh kwel kuwamilik hawa watoto...
Kuna baadhi ya wasanii wa apa nyumbani wanakera sana unakuta wanapanda jukwaani ------ nje wanaonesha boksa zao wengine chafu kma ulikua jamhuri jana hakika ulishuhudia vioja mfani Izo...
MSANII wa filamu ambaye alikuwa Muislam na baadaye kuamua kuingia kwenye Ukristo na kuokoka, Ruth Suka Mainda sasa anaonekana kupambana vilivyo kuhakikisha anaiboresha imani yake kwa kutembea na...
Wadau kuna mwanamuziki mahiri aliyevuma sana enzi za 2004 hadi 2006 katika Band ya Twanga Pepeta aliyejulikana kama Ige Moyaba sijamsikia siku nyingi sana! Je kuna yeyote anafahamu alikpo huyu...
Leo kwenye xxl nature ametangaza kuanzisha biashara ya ndala ii inakuja baada ya kutimuliwa na EATV baada ya kuja studio akiwa amelewa uku kavaa ndala...my take juma nature aishukur EATV kwa...
Katika pitapita yangu nimekutana na hii page facebook imeanzishwa alhamisi lakini hadi leo ina wafuasi 5000 hii ni kusema watu hawaitaki tena redio inayoonekana kukubalika na watu wengi au...
Wewe kama fan wao unadhani baada ya Diamond kumrekodi Wema alipompigia simu na kusambaza kwenye social network unadhani ni suluhisho sahihi kwa Wema? audio clip hiyo imesikika Wema akimbembeleza...
LOS ANGELES (Reuters) - U.S. rapper Ja Rule was released from prison on Tuesday after serving about two years on gun and tax evasion charges, a spokesman for the U.S. Federal Bureau of Prisons...
Mtanzania ambaye kwa sasa ni raia wa Uingereza na anayechezea klabu ya Chelsea, Adam Nditi ameiponda show ya Diamond mjini Reading nchini humo na kudai ilikuwa ni aibu tupu.Diamond jana...
Kitendo alichokifanya mmiliki wa clouds jana(ruge mutahaba) ni dharau iliyovuka mipaka,hata kama mna bifu lenu na jide kwa nini uonyesh dharau kias kile?,yan ina maana umetudharau kupita maelezo...
Msanii Rodgers aliyewahi kushiriki mashindano ya Bongo Star Search ameyaponda mashindano hayo kuwa hakuna haki na yanaendeshwa kwa interest za Madam Ritha. Amesema hajutii kukosa nafasi ya kwanza...