Iryn Namubiru Reportedly Arrested In Japan
A Ugandan living in Japan has told Chimpreports that singer Iryn Namubiru has been arrested in Japan.
By Brian Kwesiga 3 hours 30 minutes ago
Iryn...
Katika pita pita yangu on you tube i found one of the nigerian movie, can nt recall the name and was shocked kumuona richard wa bba 2007 in the movie akishirikiana na na mastaa wa nollywood kama...
The BOSS ni the Boss Ruge mutaahaba ameonyesha yeye kuwa ni The Boss wa CLOUDA ANALOHAMUA AWEZI MTU KUPINGA, KWA MDA WA MASAA ISHIRINI NA NNE AMNA BONGO FLEVA KUPIGWA HAKIKA HII AMEONYESHA KUWA...
Je unafahamu kuwa ile show ya diamonds are forever ni ya ruge?,je unafahamu kuwa diamond hausiki na kile kiingilio wala mapato yeyote yaliyopatikan pale.
Lauryn Hill gets 3 months for failing to pay taxes!
NEWARK, N.J. (AP) Grammy-winning singer Lauryn Hill stood in federal court Monday and compared her experience in the music business to the...
1.steven kanumba(r.i.p)-crazy love
2.jacob stephen(jb)-dj ben
3. Sajuki( r.i.p)-nzowa
4.tinno muya-nzowa
5.cloud- toba
6.rado-ukurasa mpya
7.ray kigosi-offside
8.dimoso-fungu la kukosa...
Kushoto ni Chris Kelly enzi za uhai wake!
Hapa alishakua mtu mzima!
Chris Kelly, the rapper from the Nineties rap duo Kris Kross, tragically passed away on May 1. The 911 call placed on that...
Tafadhali kama Yusuph Mlela upo kwenye jukwaa hili pls ni pm unisome Mkuu! Au kama kuna yeyote anayefahamiana naye au anayefahamu ni wapi ninapoweza kwenda kuonana naye thanks kama ata ni pm.
ALICHOKIANDIKA DIAMOND PLATNUM KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK KUHUSU SERIKALI YA TANZANIA
Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya...
Huyu bidada ni zao la kaole toka enzi hizoo..makali yake yalianza kuonekana kweny movie ya johari(2006),dangerous desire,sikitiko langu,bed rest,shakira na nyinginezo.ni kati ya wanawake waliyowa...
Baada ya mwanadada nguli katika bongo flavour msanii Lady Jaydee kuwatolea uvivu radio ya watu (Clouds FM) kuwa hawapigi nyimbo zake mpaka wapewe rushwa sasa ameamua kuja na kituo chake cha redio...
Lady Jaydee anafikiria mambo makubwa zaidi na sasa amepanga kufanya awezalo ili apate beat kutoka kwa Dr. Dre. Ataweza kweli!
DAILY ENTERTAINMENT TAKE AWAY: Lady Jaydee apanga kutengenezewa beat...
Ben Paul nae ameandaa shoo yake na kupanga kiingilio kikubwa kabisa katika histori ya muziki wa bongoflava tangu uanzishe na kwa mara ya kwanza kiliwekwa na msanii Diamond kwenye shoo yake ya...
Wadau hebu sikilizeni wenyewe muone huyu jamaa alivyo mkali katika upigaji muziki, sikiliza hiyo link
Kwa sasa anapiga muziki kama kawa old skul na flashback pale Isumba Lounge maeneo ya jolly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.