Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

huyu jamaa ana watu kila kona ya nchi hii,ndiyo maana CCM washashitukia hilo siku nyingii,so nao wanamtumia kwenye SHOW zao ilikuwa ni leo kwenye mkutano wa CCM Moro.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
There's good news and bad news for Lauryn Hill. The good -- she wasn't sentenced to prison on Monday for tax evasion. The bad -- she has to come up with more than $500,000 before May 3 to stay out...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mr Nice back and says not HIV positive Nairobi, Kenya | By Cate Mukei - The Standard | April 20, 2013 Mr Nice has re-launched his career in Kenya under Grandpa Records. In 2004, the Tanzanian...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, nimekuwa nikisikiliza Jahazi takribani siku kadhaa sasa bila kusikia Arnold Kayanda wa jahazi la Kibonde wala Gereld Hando wa PB. Hawa watu (top in town) wako wapi? mapumziko au ndio...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Naomba kujuzwa hivi huyu mtangazaji wa KISS FM Mwanza ni wa kike au wa kiume au wa jinsia Boflo maana nashindwa kuelewa maana sauti yake ni ya ki-SHE kabisa japo nasikia jina lake anaitwa SHAABAN...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Msanii Elizabeth Michael, maarufu kama Lulu (Hot Lulu), ameepuka adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua msanii mwezake, R.I.P Steven Kanumba baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)...
0 Reactions
220 Replies
20K Views
Huyu Mtangazaji hivi anatangaza bbc au bado yupo sahara media?
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Na Saleh Ally MGOGORO wa kimuziki kati ya msanii Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na kituo kimoja cha redio umezidi kuchukua kasi huku makundi mawili, kila moja likitengeneza ngome yake na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
naona kila wiki kwenye origino komedi masanja lazima amalize kwa kusema jamaa anaumwa.
0 Reactions
56 Replies
14K Views
Wakuu ningependa kuuliza ,hivi huyu Arnold Kayanda mbona cku hizi simsikii kwenye JAHAZI ,kulikoni....?
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Nimeukubali sana wimbo wa Afande sele Dini tumeletewa jamaa ameandka mambo ya msingi sana wasanii wengne igeni mfano huu Big up afande
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tajiri Nambari Moja Duniani Atua Arusha Kimyakimya TAJIRI namba moja duniani, Bw. Mukesh Ambani (53) (pichani) raia wa India amewasili nchini jana alfajiri kimyakimya kwa safari ya kitalii...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
This was shocking to me, Beyonce's Baby Blue Ivy Carter has turned into a beautiful princess who closely resembles YMCMB rapper Drake. And the question now here is could he be the father not Jay Z...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
By Cate MukeiMr Nice has re-launched his career in Kenya under Grandpa Records.In 2004, the Tanzanian musician, whose real name is Lucas Mkenda, invented a new dance style called Takeu, which...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari nilizozipata toka kwa Startox mwenyewe, ni kwamba amesalimika kuuawa na majambazi baada ya kuvamiwa maeneo ya Mwananyamala. Majambazi hao wamepora simu, pesa na baadhi ya vitu. Source...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimemkumbuka sana huyo Mrembo. alitingisha wakati wake. Ila amepotea ghafla? Mwenye news zake, na picha atujuze.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hii imetokea dakika chache zilizopita baada ya kuingia kwenye intavyuu ya FNL amelewa,pia amevaa singlend na ndala. <NB> Ni aibu kwa msanii mkubwa kama yeye kuingia kwenye intavyuu akiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Anaitwa kinyambe,kwa wafuatiliaji wa bongo comedy watakubaliana nami kuwa huyu jamaa kwa sasa hana mpinzani,hatumii nguvu wala haforce kuchekesha kama kina nanii,ukimwona tu hata kabla hajongea...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Usafii kama kawaida yangu.....!! Diamond Platnumz with Flowers....! From Left to Right.....Qboy Mnyama...Esma Khan,Faridah,Mariam...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom