Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wale wa2 wa hiphop si jina geni masikion mwenu jina la tamadun music. Ni familia ya kizazi kipya cha hiphop kikiwa na wasanii kama niki mbish,uno,sterio,songa, youngkiler. Vp kama mdau wa hpohp...
1 Reactions
41 Replies
21K Views
Una maana gani huu wimbo? Mi nimeshindwa kupata message nisaidieni na mie niuelewe
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Baada ya kusoma ujumbe wa wema wa instagram kuwa watu wamuonee huruma kwa kweli nilipata huruma,ila baada ya kutafakari kidogo niliona huyu dada yeye mwenyewe ndiye anayehitaji kujionea huruma...
8 Reactions
60 Replies
23K Views
Kama mnakumbuka mwanzoni mwa miaka ya Tisini kuna kundi moja la vijana wadogo lilikuwa linaitwa Kriss Kross, likiwa na vijana wawili mmoja akiitwa Chris Kelly au "Mac Daddy" na Mwingine akiitwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Fans wa music mtakuwa mmeona diff. categories za tuzo za kili pa1 na nomineez je unadhani wasanii au msanii gani hakutendewa haki kwa kutowekwa,au maoni yako ni yapi?
0 Reactions
1 Replies
990 Views
MACELEBRITIES wengi nchini wamekua wakizungumzia nia zao za kugombea ubunge 2015... Wakiwa hawana sababu nyingi... Mfano Loveness malinzi "diva" juzi kachukua kadi ya chadema na kusema nia yake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ni comment iliyotumwa na mchangiaji wa blog ya sinta alivyoweka post kuhusu lulu Sintah for sure mwambie huyu mtoto akae mbali na BONITA atamuharibia dakika moja. Jana nilipita pale...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
hi. friends wa kubadilishana mawazo. if ur here pls PM simple kama hivi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Always and forever: Newlyweds Michael Jordan and Yvette Prieto took their first spin around the dance floor as married couple at the Bear's Club in Jupiter, Florida Saturday
0 Reactions
8 Replies
3K Views
SHABIKI maarufu wa Yanga, Steven Mwamwala, ambaye alianika hisia zake za kutaka kuonana na msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Wema Sepetu, leo wanatarajiwa kukutana ana kwa ana...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mtangazaji wa East Africa alimualika Juma Nature na Tunda Man kwenye show,Juma Nature alitokea akiwa na undershirt na kandambili, mbaya zaidi akiwa 'high' vibaya Sam Misago akalazimika kuomba...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
LOS ANGELES (AP) - The most complete account of Michael Jackson's final months is about to unfold in a cramped Los Angeles courtroom nearly four years after the pop superstar's death. Lawyers for...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
,Ni kijana wa kitanzania mwenye upeo wa hali ya juu mimi na umri wangu wote sisikilizi nyimbo za kitanzania ila huyu jamaa acha mwanangu ukirudi mjini ptia kwangu na uniletee album yake huyu...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI mbeya region P.O.BOX 0759209081 MBEYA dear diamond.... sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii katika wasanii...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Ivi ili ni jukwaa la celebrities au jukwaa la diamond!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ya kufikisha miaka 18 ya kuzaliwa. MY TAKE: Whom dose she think she is still fooling hata kama wote tunajua hafungwi tena? Angekaa kimya tu ingemsaidia zaidi kuliko kutonesha madonda...
1 Reactions
28 Replies
10K Views
jamani, tuna masiku sasa hatumsikii muzee mujanja a.k.a. PJ.. tulisikia tu kapata matatizo j3 alipokuwa akielekea kazini, matatizo gani? alipatwa na nini? yuko wapi sasa? wadau, kuna mwenye kujua...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Fuatilia matangazo ya Clouds Fm, jinsi walivyoamua kutumia umaarufu wa Bi Kidude kumfanyia biashara. Wanaweka vionjo vya Bi Kidude, kisha wanasema 'made in Tanzania' kwa hisani ya 'Maxi Malipo' ...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
hivi wana JF, nani anajuwa Fikiri Madinda yuko wapi na ana hali gani kwa sasa? Na anafanya shughuri gani kwa sasa? Na wakati anapaishwa na bendi za muziki ilikuwaje? Dunia hadaa ulimwengu shujaa
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom