Wale wa2 wa hiphop si jina geni masikion mwenu jina la tamadun music. Ni familia ya kizazi kipya cha hiphop kikiwa na wasanii kama niki mbish,uno,sterio,songa, youngkiler. Vp kama mdau wa hpohp...
Baada ya kusoma ujumbe wa wema wa instagram kuwa watu wamuonee huruma kwa kweli nilipata huruma,ila baada ya kutafakari kidogo niliona huyu dada yeye mwenyewe ndiye anayehitaji kujionea huruma...
Kama mnakumbuka mwanzoni mwa miaka ya Tisini kuna kundi moja la vijana wadogo lilikuwa linaitwa Kriss Kross, likiwa na vijana wawili mmoja akiitwa Chris Kelly au "Mac Daddy" na Mwingine akiitwa...
Fans wa music mtakuwa mmeona diff. categories za tuzo za kili pa1 na nomineez je unadhani wasanii au msanii gani hakutendewa haki kwa kutowekwa,au maoni yako ni yapi?
MACELEBRITIES wengi nchini wamekua wakizungumzia nia zao za kugombea ubunge 2015... Wakiwa hawana sababu nyingi... Mfano Loveness malinzi "diva" juzi kachukua kadi ya chadema na kusema nia yake...
Hii ni comment iliyotumwa na mchangiaji wa blog ya sinta alivyoweka post kuhusu lulu
Sintah for sure mwambie huyu mtoto akae mbali na BONITA atamuharibia dakika moja. Jana nilipita pale...
Always and forever: Newlyweds Michael Jordan and Yvette Prieto took their first spin around the dance floor as married couple at the Bear's Club in Jupiter, Florida Saturday
SHABIKI maarufu wa Yanga, Steven Mwamwala, ambaye alianika hisia zake za kutaka kuonana na msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Wema Sepetu, leo wanatarajiwa kukutana ana kwa ana...
Mtangazaji wa East Africa alimualika Juma Nature na Tunda Man kwenye show,Juma Nature alitokea akiwa na undershirt na kandambili, mbaya zaidi akiwa 'high' vibaya
Sam Misago akalazimika kuomba...
LOS ANGELES (AP) - The most complete account of Michael Jackson's final months is about to unfold in a cramped Los Angeles courtroom nearly four years after the pop superstar's death. Lawyers for...
,Ni kijana wa kitanzania mwenye upeo wa hali ya juu mimi na umri wangu wote sisikilizi nyimbo za kitanzania ila huyu jamaa acha mwanangu ukirudi mjini ptia kwangu na uniletee album yake huyu...
BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI mbeya region P.O.BOX 0759209081 MBEYA dear diamond.... sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii katika wasanii...
Ni ya kufikisha miaka 18 ya kuzaliwa.
MY TAKE:
Whom dose she think she is still fooling hata kama wote tunajua hafungwi tena? Angekaa kimya tu ingemsaidia zaidi kuliko kutonesha madonda...
jamani, tuna masiku sasa hatumsikii muzee mujanja a.k.a. PJ.. tulisikia tu kapata matatizo j3 alipokuwa akielekea kazini, matatizo gani? alipatwa na nini? yuko wapi sasa?
wadau, kuna mwenye kujua...
Fuatilia matangazo ya Clouds Fm, jinsi walivyoamua kutumia umaarufu wa Bi Kidude kumfanyia biashara.
Wanaweka vionjo vya Bi Kidude, kisha wanasema 'made in Tanzania' kwa hisani ya 'Maxi Malipo' ...
hivi wana JF, nani anajuwa Fikiri Madinda yuko wapi na ana hali gani kwa sasa? Na anafanya shughuri gani kwa sasa? Na wakati anapaishwa na bendi za muziki ilikuwaje? Dunia hadaa ulimwengu shujaa