huyu jamaa ana watu kila kona ya nchi hii,ndiyo maana CCM washashitukia hilo siku nyingii,so nao wanamtumia kwenye SHOW zao
ilikuwa ni leo kwenye mkutano wa CCM Moro.
There's good news and bad news for Lauryn Hill. The good -- she wasn't sentenced to prison on Monday for tax evasion. The bad -- she has to come up with more than $500,000 before May 3 to stay out...
Mr Nice back and says not HIV positive
Nairobi, Kenya | By Cate Mukei - The Standard | April 20, 2013
Mr Nice has re-launched his career in Kenya under Grandpa Records.
In 2004, the Tanzanian...
Wadau, nimekuwa nikisikiliza Jahazi takribani siku kadhaa sasa bila kusikia Arnold Kayanda wa jahazi la Kibonde wala Gereld Hando wa PB.
Hawa watu (top in town) wako wapi? mapumziko au ndio...
Naomba kujuzwa hivi huyu mtangazaji wa KISS FM Mwanza ni wa kike au wa kiume au wa jinsia Boflo maana nashindwa kuelewa maana sauti yake ni ya ki-SHE kabisa japo nasikia jina lake anaitwa SHAABAN...
Msanii Elizabeth Michael, maarufu kama Lulu (Hot Lulu), ameepuka adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua msanii mwezake, R.I.P Steven Kanumba baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)...
Na Saleh Ally
MGOGORO wa kimuziki kati ya msanii Judith Wambura Mbibo Lady Jaydee na kituo kimoja cha redio umezidi kuchukua kasi huku makundi mawili, kila moja likitengeneza ngome yake na...
Tajiri Nambari Moja Duniani Atua Arusha Kimyakimya
TAJIRI namba moja duniani, Bw. Mukesh Ambani (53) (pichani) raia wa India amewasili nchini jana alfajiri kimyakimya kwa safari ya
kitalii...
This was shocking to me, Beyonce's Baby Blue Ivy Carter has turned into a beautiful princess who closely resembles YMCMB rapper Drake. And the question now here is could he be the father not Jay Z...
By Cate MukeiMr Nice has re-launched his career in Kenya under Grandpa Records.In 2004, the Tanzanian musician, whose real name is Lucas Mkenda, invented a new dance style called Takeu, which...
Habari nilizozipata toka kwa Startox mwenyewe, ni kwamba amesalimika kuuawa na majambazi baada ya kuvamiwa maeneo ya Mwananyamala. Majambazi hao wamepora simu, pesa na baadhi ya vitu. Source...
Hii imetokea dakika chache zilizopita baada ya kuingia kwenye intavyuu ya FNL amelewa,pia amevaa singlend na ndala.
<NB>
Ni aibu kwa msanii mkubwa kama yeye kuingia kwenye intavyuu akiwa...
Anaitwa kinyambe,kwa wafuatiliaji wa bongo comedy watakubaliana nami kuwa huyu jamaa kwa sasa hana mpinzani,hatumii nguvu wala haforce kuchekesha kama kina nanii,ukimwona tu hata kabla hajongea...