Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nimesikiliza huu wimbo kwa makini ulioimbwa na kundi la Tancut Almas..kweli zamani nyimbo zilikuwa na mafundisho! mama analalamika ni miaka 12 sasa hajamuona mtoto wake amekuwa ombaomba huko...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Unaipa ngapi hii Show?
1 Reactions
10 Replies
413 Views
"Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawapa pole*2" Ajuaye bwana Mungu kuwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole*2" Kiitikio; Kipindi chenu kinawapa pole wote...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari JF. wapenzi wa animation movies itafute hii hautajutia GB zako
12 Reactions
77 Replies
8K Views
Ukweli nilikaa mwaka jana mwishoni na katika kutafakari juu ya jambo husika nikasema niandike wimbo. Sina ujuzi wa uandishi wa nyimbo (rap au kuimba) ila mimi ni mwandishi mzuri tut wa mashairi na...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu hii ndo list ya best documentary movie na tv shows za muda wote [emoji419]murdaugh murders :deadly dynasty [emoji419]formula 1:drive to survive [emoji419]murdaugh murders :a southern...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Haya haya mzigo huo upo tayari kazi kwetu tu wandewa.. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
26 Replies
4K Views
MWIGIZAJI Mtanzania Yvonne Cherrie, maarufu kama ‘Monalisa’ ameshinda tuzo ya kimataifa Emmy Kids 2022 katika series ya ‘My Better World Show’ kwa kuingiza sauti kwa lugha ya Kiingereza. Baada ya...
10 Reactions
67 Replies
3K Views
UNAIKUMBUKA SOUNDCRAFTERS? UNAMKUMBUKA BIZMAN KAMA MWIMBAJI? UNAMKUMBUKA BIZMAN KAMA PRODYUZA? UNAMKUMBUKA BIZMAN KWA KITU GANI?? UNAMKUMBUKA ENRICO KWA VINANDA AU KWA KITU GANI?? Nakumbuka...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za zenu Wana Jf Throw back Tuesday Ilikuwa mwezi wa 12 miaka mingi kidogo nyuma baada ya kwenda likizo Morogoro tulifikia kwa baba mdogo ambaye alikuwa anaishi maeneo ya tazara Siku moja...
1 Reactions
2 Replies
695 Views
Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana wapo wanaokumbuka mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka mabaya yake, nyimbo hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua...
2 Reactions
8 Replies
753 Views
Turudi kwenye Old School Hip hop. Hivi ni Collabo gani ya HIP HOP haikuwahi kufanyika hadi leo unasema, Kama ingefanyika basi ingekuwa hatari sana. Naanza Mimi, Collabo ambazo nilitamani...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Mimi ni mpenzi sana wa bongo movies ingawaje mimi sio mtanzania wala siishi Tanzania. Kuna moja linanikera sana katika movie hizo; ni background music. Inakuwa hata vigumu kusikia wanachosema...
3 Reactions
0 Replies
432 Views
= = Kudadadeki Lyrics By Nay Wa Mitego Below: Heeeh whatsap ma people Its me again baba yaga I'm on it Leo sitaki kuimba nataka nichane Na mizuka ikinipanda mniruhusu nitukane F**k...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenye ukumbi wa harusi, unapigwa wimbo wa, "nimeachwa sitaki maswali...jimbo liko wazi"—ukumbi mzima unainuka na kusererebuka wakinyanyua glasi mbele ya maharusi!
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Simulizi ya kijasusi
2 Reactions
34 Replies
10K Views
Bendi mpya ya Chato Musica imeanzishwa huku wakitoa kibao chao cha kwanza kikiitwa "Hapa kazi tu" ikiwa na kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya 5 inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
KITABU CHA KWANZA Nyuma ya mafanikio yeyote kuna uhalifu. - BALZAC Sura ya kwanza Amerigo Bonasera alikuwa ameketi ndani ya...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanajamii wenzangu upande huu wa michezo kwa muelekeo wa ligi ya mabingwa mwaka huu na ubora wa Timu zilizosalia unadhani ndoo inaweza kwenda wapi hadi sasa
2 Reactions
17 Replies
534 Views
Naomba kufahamu ni sehemu gani naweza pata lyrics ya nyimbo zote za kibongo. Mfano wanyee by baba levo. Lyrics yake naweza kuipata wapi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom