Production zetu bongo c nzuri na Biti zetu nyingi ni legevu na zisizoweza kushindana na Nigeria.
Nimekuwa naenda Club nyingi za usiku, ila Kila zinapopigwa nyimbo hizi mbili yaani Amelowa ya...
Taarifa njema kutoka Lockin255 ni rasmi sasa siyo tetesi tena.
Sabi Girl Ayrastarr will be performing in Tanzania[emoji1241], at The Superdome on the 20TH of MAY 2023.
Get your tickets now from...
Dear boys dear... men
Ni sisi wasichana kina dada, mabinti na mama zenu
Tunaongea kutoka upande wa chini, upande mbali upande kutoka usawa wenu
Upande nilipo msichana kuna hitilafu
'So' sikio...
Kupitia mahojiano na Jarida la Complex, mwigizaji Michael B. Jordan ameweka wazi kuwa nyota huyo mwenye asili ya Canada anapaswa kupewa heshima ya juu zaidi ya wakongwe wa #HipHop kama 2Pac na...
Majirani +254, Kenya
Kenya imekuwa ikitambulishwa na blocks kuu mbili; Nairobi na Mombasa (ni) lakini andiko hili litawaunganisha.
1. Ukoo Fulani Maumau Kalamashaka (Johny Vigeti, Kimya, Roba na...
Hii ni battle ya Baba na mtoto.
Kwenye ukweli tusemeni ukweli EP ya Afro-Bongo ndio imepelekea wasanii wengi kuachia extended playlists kibongobongo katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita...
Ni wiki ya 8 sasa Vijana wanapambania dolla laki moja kwa mshindi Mmoja pekee atakayepatikana.
Washiriki wametoka mataifa mawili, Nigeria na South Africa.
Walianza wakiwa 24, 12 kutoka SA na 12...
SIMULIZI: HUKUMU NZITO
GENRE: THRILLER
MWANDISHI: YI BANG JI
“Nataka tuimalize kazi kwa haraka,” aliongea Julius Fungo, huyu alikuwa kiongozi wa kikundi
cha majambazi ambao walikuwa wakifanya...
Salama Jabiri "Ecejay"
Nilimfahamia kwenye kipindi cha Planet Bongo ambacho kiliurithi moto wa Hip Hop Base HOP kutoka kwa mwana Hip Hop, Saigon ambaye alikifanya kwa namna ya tofauti, kisha...
Polisi wa England wamemhoji Star huyo wa R&B kutokana na vurugu zilizotokea kwenye Klabu ya Usiku ya 'Tape' jijini London ambapo Watu walioambatana naye walipigana na Walinzi wa Klabu na...
SABELA
Katika filamu ya Sarafina, nimeukumbuka ule wimbo wa SABELA. Huwa naupenda sana. Napenda sauti zao na beats zake.
Kuna wakati unajikuta unaupenda wimbo hata pasipo kujua maana yake. Tena...
SAUTI YA MTUTU
(MTAZIKA KILA IKISIKIKA)
Na BAHATI MWAMBA
0758573660,0624155629
Bunduki yangu ilikuwa imeisha risasi na kitu pekee nilichokuwa nakitegemea ni...
Yaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza,
Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa.
Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na...
Licha ya kuwa ana hukumu ya miaka 30 iliyotolewa na Mahakama ya New York baada ya kukutwa na hatia ya makosa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Waendesha mashitaka wametaka akimaliza hukumu hiyo...
Kwa upande wangu...
1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar
2. The Verteller - Dizasta Vina
3. Damn - Kendrick Lamar
4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars
5. Bad - Michael Jackson
Inawezekana huyu msanii ana bahati mbaya sana katika upande huu wa mahusiano. Ni kweli au kazi tu!?
Tizama wimbo huu mkali kabisa..
Bushoke nae karejea vizuri kabisa.
Karibuni Kwenye uzi maalumu kwa wale wapenzi wa historical, adventure na mythology Movie
Ifuatayo ni orodha bora ya Movie zenye historia ya kale za muda wote
Troy
300
The last samurai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.