Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Michezo ya slots yaani online slots inakuja kwa kasi sana hasa Jackpots zake. Sasa naomba kuuliza Jackpot hizi za michezo ya slots wadau mnazionaje? Je ni ukweli au kuna mbambamba tu jamani...
3 Reactions
2 Replies
683 Views
THE SPIRIT THINKER. UTANGULIZI Berlin, Ujerumani SONJA VERBRUGGE HAKUWA anafahamu kwamba leo ingelikuwa ni siku yake ya mwisho kuishi duniani. Alikuwa anatembea kwa taabu kuwapita watalii...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Nitengenezee playlist yenye nyimbo 10 dizain ya Sete, sautisol, nviiri, chike, simi nk nadhani mmenielewa wajuzi wa muziki
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, nililetaga humu uzi kuomba kusaidiwa namna ya kupata subtitles kwenye series na movies mpk sasa sijapata solution, je kuna app ya movies na series ya namna hyo? Kuna uzi flan mwana...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Kipindi cha 2012 kushuka chini wasanii walijizolea umaarufu sana kwa nyimbo moja tu. Kuna hawa vijana wa university corner na wimbo wao wa t-shirt na jeans. Kiukweli wale jamaa kama ni jina lao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Bila kupoteza muda naomba kufahamu ni sehemu gani naweza kupata lyrics ya nyimbo za kibongo aina zote? Mfano nyimbo kama ya baba levo inaitwa wanyee naweza pata lyrics yake wapi?
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Wafalme wa Hollywood walikusanyika ili kujua ni nani aliyeshinda Tuzo ya Oscars Usiku wa Jumapili. Hii hapa orodha ya washindi na wateule wote waliotangazwa katika Tuzo za 95 za Academy huko Los...
2 Reactions
5 Replies
990 Views
Nothing beats passion, nimeangalia zaidi ya mara 10 hii video..wow!
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Amapiano ndio habari ya mujini kwa sasa kunako sekta ya burudani hasahasa kiwanda cha muziki. Kama Amapiano ni jina geni kwako basi sikiliza wimbo wa Mama Amina wa kwake Marioo ft Sho Madjozi na...
4 Reactions
19 Replies
6K Views
Ni movie gani ulishawahi kuiangalia zaidi ya mara mbili na bado unatamani kuiangalia tena??!!
0 Reactions
44 Replies
3K Views
NILISOMESHA MCHUMBA Mezaliwa kijijini, kukulia huko pia, Mazao yetu shambani, mengi tulijivunia, Tukayajaza ghalani, akiba kijiwekea, Tukawa wenye furaha, usiku tumevimbiwa. Nilimaliza la...
1 Reactions
0 Replies
276 Views
MAPENZI BWANA NI PESA Mapenzi bwana ni pesa, wahenga walishanena, Ukiwa na nyingi pesa, tapendwa na wasichana, Macho kwako tapepesa, hela wakishaziona, Mapenzi bwana ni pesa, wahenga walishanena...
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Jifunze kuwa mkimya, maana hata samaki aliyefumba mdomo huwa hanaswi na ndoano.
0 Reactions
4 Replies
516 Views
Kupitia ukarasa wa Instagram wa msanii huyo, familia imeweka taarifa ya kupokea taarifa za kufariki kwa Constantinos Tsobanoglou aliyeanguka ghafla akiwa jukwaani. Pia, familia imewashukuru Watoa...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Hapa siongelie zile historical kama Jumong, Yisan, Painter of the Wind, Tree with Deep Roots n.k., naongelea zile modern. Kwa kweli nyingi nazoziona ni kama zinafanafana saana as well as ni...
4 Reactions
241 Replies
22K Views
Wakuu hii ndo list yangu ya movies za kisanyansi na fiction za muda wote enjoy [emoji419]Terminator [emoji419]planet of the apex [emoji419]Alien [emoji419]Blade runner [emoji419]The matrix...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Wakuu hii ndo list ya movie zilizotengenezwa kwa budget kubwa na pesa walizoingiza kupitia box office [emoji419]Star wars:the force awakens $446million , box office $2,068,223,624...
2 Reactions
66 Replies
3K Views
Kama mpenzi wa mziki, nimeamua kutengeneza hii ngoma na ni kwa mara ya kwanza nimefanya kila kitu mwenyewe kuanzia beat, mixing na mastering. Hebu isikilizeni kisha mtoe maoni yenu... Song...
7 Reactions
22 Replies
782 Views
This is the story of a young man who grew up in the ghetto with his mother. As a child, he didn't understand the struggles his mother faced to raise him and his siblings on her own. He caused her...
4 Reactions
2 Replies
585 Views
Back
Top Bottom