Wadau habari.Kuna ngoma YA zamani sana aliimba Bugz Malone na D Rob.Bugz alikuwa anachana kingereza D Rob alipita na chorus YA kiswahili.Ngoma hii naitafuta sana,mwenye nayo afanye kushare
Silimulizi : Msako Wa Mwanaharamu
Sehemu Ya Kwanza (1)
Katika Pori fulani huko BAGAMOYO
PORI LILIONEKANA TUPU, hakukuwa na kipya zaidi ya miti ileile ya kila siku, kila mmoja ukiwa mahala pake...
Kutoka Dstv I would rank the series kama hivi;
1. Jua kali [emoji1241]
2. Selina [emoji1139]
3. Sanura [emoji1139]
4. Kina [emoji1139]
5. Huba [emoji1241]
Tanzania tuongeze juhudi, Wakenya...
1. I LOVE YOU – CATHOLIC MT. THERESIA
Hii nyimbo kama wahusika walifanya mazoezi ndipo wakaenda shoot video basi walifanya mazoezi ipasavyo.Nimependa jinsi wanavyocheza mwanzo mpaka...
Tafadhalini sana wakongwe kuna wimbo uliimbwa sikumbuki kama msondo ngoma au band gani ila KIITIKIO jamaa kwa sauti kali yenye kipaji cha hali ya juu aliimba
"Hili ndilo fundisho kwa wengine...
Huh Nina washkaji home dili ikija wanapindisha sera
Inawaumiza napopiga hela
Wote wanangu bado sijawahi wapinga jambo
Hata wakificha Cargo Bado nawapa hi ‘cause we best friends
Wapo wavivu wapatwe...
Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na...
Salamu nazitia kapuni naenda moja kwa moja kwenye mada. Je, mziki wa Tanzania (BongoFleva) unaweza kutusua na kuwekewa category yake pekee kwenye platform kubwa za mziki kama Billboard Hot...
Kiukweli huyu jamaa anajua mnoo ameandaa tamthilia kadhaa kama vile saluni ya mama kimbo, Kombolela na sasa tamthilia ya zahanati ya kijiji.
Mwisho natoa rai kwa waongozaji wengine wa tamthilia...
Wana hip hop hamjambo?
Aisee hii diss ya dkk 8 ya DIZASTA VINA ni balaa, mtoto RAPCHA amechanwa mno umo ndani. Siku zingine apunguze kiherehere, maradona DIZASTA ni moto sana kwa kizazi iki kwa...
Nakumbuka kuanzia miaka ya 1990 Hadi 2006 na sita hivi, nilikuwa napenda Sana movie za kihindi...
My favorite actor ni mzee mzima Sunny Deol...
My favorite movie inaitwa Ziddi...
Je, wewe ndugu...
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Kongo, Mfalme JEAN BEDEL MPIANA wa TSHITUKA aka PAPAA CHERII aka MUKULU aka SOUVEREIN 1er aka BIN ADAM aka LEADER CHARISMATIQUE aka MOTO PAMBA ameamua kutuzawadia...
MTUNZI:MSANII JOTO LA MOTO
SEHEMU YA KWANZA
MSITUNI-JIONI
Hali ya utulivu imetawala, huku sauti za Ndege na mivumo ya matawi ya miti inayopulizwa na upepo ikisikika, mara unasikika MNGURUMO WA...
SIMULIZI: NILIVYOMPA MIMBA BINTI WA KAZI, IKATUNGA NJE YA KIZAZI.
SEHEMU YA KWANZA (01)
MTUNZI @middotz_
“Aisee kumbe hivi ndio watu hukataa mimba! ndio nagundua leo ukiwa hujajipanga”
Jina...
DRUG LORDS
Wanasiasa walilalamika!
Wafanyabiashara walilalamika!
Viongozi wa dini walilalamika!
Kila mtu alilalamika
Yes! Mtu yeyote aliyekuwa kwenye ile orodha alilalamika.
Msingi wa...
Ni kama ule ubishani nani msanii bora Kati ya lucky dube na Bob Marley unashangaza kidogo japo kwangu lucky dude ni msanii bora kuliko Bob Marley the same kwa madilu systerm na franco luambo...
Niaje, najua wengi wetu tuna ka addiction flani kwenye hii tasnia mi nikiwa na ulevi kabisa wa hizi Mambo.
Najua tunatofautiana hasa kwenye categories za games tunazopendelea, upande wangu...
THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO) SEHEMU YA 01
Mtunzi: HASHIMU AZIZI
“Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!”
“Nanii?”
“Fungua!”
“Jitambulishe kwanza, wewe nani?”
“Nimesema fungua! Fungua kwa hiyari yako!”...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.