Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Jamaa ana ujumbe mzuri sana, Japo kachanganya na kilugha huu wimbo ni elimu tosha. Sema tu binadamu wagumu. Kuelewa.
3 Reactions
2 Replies
394 Views
Wanasema zubaa uchekwe na Ujanja ni kupata/kuwahi, Unaweza ukawa uliisha isikia redio inaitwa TONE RADIO (TONE MEDIA COMPANY) Hawa jamaa waliibuka mnamo mwaka 2012 wakiwa na namna ya urushaji wao...
5 Reactions
61 Replies
9K Views
Hadithi: TEARS IN MY HEART {Machozi moyoni mwangu} Mtunzi: SALUM SAID NGUATE Simu:0784989666 Sehemu ya KWANZA Nadhani alikua muhanga wa MOYO wake mwenyewe. MOYO wake unamnisaliti kila iitwapo...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Hadithi: TEARS IN MY HEART {Machozi moyoni mwangu} Mtunzi: SALUM SAID NGUATE Simu:0784989666 Sehemu ya KWANZA Nadhani alikua muhanga wa MOYO wake mwenyewe. MOYO wake unamnisaliti kila iitwapo...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Hadithi: TEARS IN MY HEART {Machozi moyoni mwangu} Mtunzi: SALUM SAID NGUATE Simu:0784989666 Sehemu ya KWANZA Nadhani alikua muhanga wa MOYO wake mwenyewe. MOYO wake unamnisaliti kila iitwapo...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Naanza Tekno Joh Makini Baraka da prince Temba Tunda man Rose Muhando Tuendelee
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Kama ilivyo Katika michezo mingine ya Maigizo Kama vile Film, Pia mchezo huu wa Mieleka ni Maigizo so kweli unacho ona hapo ni 100% ukweli hapana. Michezo hiyo hua imeandaliwa kua pambano hili...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wimbo wa champion at first time niliuona kwenye status ya rafiki yangu, maneno yake yalinivutia hasa pale anaposema "tumeishi na watu wanaoamini kuwa bahati bahati zote alipangiwa Bukuku" enewei...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Nahitaji kufika hapo na hasa kuonana na CEO kwa lengo la kuteta kidogo kuhusu wimbo fulani mpya Najua iko sinza ila eneo gani ndio sijajua. Mwenye ufahamu tafadhali tujulishane
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Nazungumzia magoma yaliyolitingisha bibaya sana bara la Africa kwa mwaka 2022, dude sio lazima liwe limeshuka 2022 lakini kwenye iwe harusi, Kipaimara, birthday hata club hukosi kulisikia...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
[emoji682][emoji682][emoji682][emoji682][emoji682][emoji682][emoji682] Sehemu Ya Kwanza (1) Ilikuwa ni siku ya jumamosi majira ya saa kumi kamili za jioni, hali ya hewa ilikuwa ni ya mvua...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Nipo mahali hapa, wimbo wa Jay Melody Nakupenda unapigwa. Hii imenisukuma niandike chochote, hakika kutoka ni suala la muda tu. Huyu dogo wakati anaanza nilikuwa namuona anapoteza muda tu, lakini...
2 Reactions
11 Replies
804 Views
Kwa wale waliowahi kutazama series ya Jumong hii ni sound track number 7, ni moja ya soundtrack kali wabongo wameicopy na kuitumia kwenye movie nyingi sana Kwa waliotazama series ya Spartacus...
7 Reactions
74 Replies
13K Views
Naomba kujua kiwanja kizuri kwa Live Band muda huu. Nipo Dar es Salaam Ubungo
0 Reactions
3 Replies
847 Views
1 : kontawa - champion 2: Dulla makabila - Pita huku 3: Mbosso - Shetani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Movie ni wheels on meals. Jack Chan vs Benny Urquirdez
7 Reactions
43 Replies
3K Views
HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA. Chapter 1 Kama miezi miwili hivi iliyopita nilikuwa zangu katika mihangaiko yangu nje ya jiji la mbeya. Usiku mmoja majira ya saa nne na nusu nikiwa chumba cha...
3 Reactions
20 Replies
7K Views
Binafsi ni mpenzi wa muziki especially Hip Hop that doesn't mean I don't listen to other kind of music. Muziki wowote mzuri mi nasikiliza nyuma nilikuwa napata shida kusikiliza muziki wa taarabu...
5 Reactions
101 Replies
9K Views
Hizi hapa ndo tano bora za mziki wa taarab 1.Siwaguni siwakohoi=Fatma mcharuko ndani ya YAH TMK MODERN TAARAB 2.Kibaya kina mwenyewe= Aisha vuvuzela ndani ya YAH TEMEKE MODERN TAARAB 3.Nataka...
0 Reactions
8 Replies
18K Views
Wanasema waswahili kizuri ni kizuri tu Hii ndo nyimbo bora kabisa kaimba bi mwanahawa ally Kwa sasa imekua ni ngumu mno kupata nyimbo zenye flavour adhimu ya taarab hususan kileo ambapo...
4 Reactions
28 Replies
10K Views
Back
Top Bottom