Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani...
11 Reactions
118 Replies
8K Views
Wakuu amani itokayo juu iwe nanyi. Amina. Nashauri miziki ya baongo fleva na bolingo iwe rated above 18 ili iwekwe mbali na watoto. Huwa nasikitika sana kula niwapo safarini kuona aina ya miziki...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Namuona mwanamama wetu mkongwe kwenye ubora wake😁. Hivi huyu mama ana umri gani? Album inaitwa Secret Agenda.
-1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwenye nyimbo za album ya Rose muhando zawadi ya Christmas anisaidie au kama kuna link naweza kuzipata naomba ushare namimi.
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Tumezoea kuona drama au series za Korea.Ila ni mara chache kusikia watu wakiongelea movie za Korea,au wengine hua wanaziona ila wanadhani zinatoka China. Movie za Korea zipo na zinafanya vizur...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Rapa Tory Lanez mwenye asili ya Canada amekutwa na makosa 3 ya Kushambulia kwa kutumia Silaha aina ya Bastola, Kubeba Bastola yenye Risasi ikiwa ambayo haina usajili na Kufyatua Bastola hiyo kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KISANGA!!! (Hisia za Mrithi) Mtunzi: Akida Siri Rambao Contact: 0658328596 Email: akidasiri@gmail.com MSIMU WA 1 NCHINI ZHONGO SEHEMU YA 1A KITONGOJI CHA NYAKWA-WILAYA YA CHOZI Sauti yenye...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Hakuna ubish, Bongo Fleva ni Moja ya muziki pendwa Afrika mashariki na kati. Huu uwe kumbukumbu ya nyimbo zote za Bongo Fleva ambazo zilishawahi kuwa hit song.
0 Reactions
7 Replies
945 Views
Unjani sabuwona, Kiukweli nimependa Ubunifu wa dulla makabila! Nyimbo imekamilika kila idara kila kitu alichoongea makabila kina uhalisia kabisa Nimependa idea ya dulla makabila kumtumia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama sio kosa kidini kutumia maneno yasiyo rasmi, ninatamani mziki wa kileo/bongo flavor itumike kueneza neno la Mungu. Nimesikiliza wimbo wa PITA HUKU wa Dulla Makabila wimbo umeyasema yale...
0 Reactions
3 Replies
336 Views
Hii ngoma ni kali kila sekta wakuu. Huyu dogo ni next big thing.
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Nadhani ifikie mahali kila msanii anapotaka kuweka maneno au Vionjo vinavyo husu Imani za Kidini ndani ya Wimbo au video yake. Msanii huyo azingatie Dini yake kama ni Mkristo afanye kulingana na...
12 Reactions
61 Replies
4K Views
Wale wapenzi wa rhumba hasa wa fally Ipupa ,album yake yenye nyimbo zaidi 30 inapatikana kwenye disc 3 Baada ya kuisikiliza hakuna ata wimbo wa kuskip Hizi hapa ni nyimbo zinazopatikana kwenye...
1 Reactions
6 Replies
883 Views
Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na rafiki zangu walevi wakakomaa twende kijiwe kimoja cha pombe. Kilikuwa ni kigrocery kidogo lakini kimechangamka hivi, japokuwa pombe nishaacha lakini...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Jipatie simulizi za kijasusi 《The last chapter Ukurasa wa mwisho》《Mwamba》《Scandal kashfa》《Ambola》BY Patrick c.k kwa mfumo wa soft copy PDF mwanzo mpaka mwisho kwa bei nafuu TSH 2000 WhatsApp...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Marekani na South Korea zinaendelea kuiteka dunia kwenye soko la filamu. Kwa sasa sijaona nchi ya Asia ya kuisumbua Korea ya Kusini kwenye sekta hii. January, mwaka huu 2022 Wakorea wameachia...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Baada ya mafanikio makubwa ya commando kwenye chati za nchi tofauti duniani na kutumiwa kwenye video zinazohusiaha watu maarufu akiwemo DJ Khaked, remix ya commando kwa jina la mapopo imetoka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
- Humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi! - Juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao...
31 Reactions
175 Replies
13K Views
Back
Top Bottom