Nyimbo Ni nzur sana kwa dini zote mtu yoyote anaweza kuitumiaa katik mapito anayo yapitia hata hasiye na dini pia inamfaha San.
Nyimbo inampa mungu SHUKRANI kwa yote aliyokufanyia kwa kipind...
Dar es Salaam. Ni lazima kuvaa nguo mpya wakati wa sikukuu? Ni swali linalotawala nyakati za sikukuu za mwisho wa mwaka, ambapo kwa wengine bila kuvaa nguo mpya, mwaka unakuwa haujaisha.
Japo...
Wakuu yaani hizi ni lazima niwe nazo kwa ajiki ya kunifariji safari hasa nikiwa naambaa na kona za Iyovi yaani nasikia raha kabisa
1.Werasin-Blandine
2.Tshala Muana-Tshibola
3.Felle gola-100...
Wadau,
Mimi ni mpenzi wa movies ambazo mtu inakuwa ngumu kuzielewa wakati unaziangalia, movie itaniboa iwapo nitatabiri mwisho wake mwanzoni mwa movie, najiita napenda movie NGUMU. Kwa mara ya...
Muigizaji Henry Cavill ameondolewa kama Superman na mabosi wapya wa Studio za DC, chini ya miezi miwili baada ya kutangaza kurudi kwenye nafasi hiyo.
"Nimekuwa na mkutano na James Gunn na Peter...
Habari zenu wakuu,
Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi...
Kwanza kabisa nisamehewe kwa mtu yeyote nitakaemkwaza kwa picha hii.huu ni wimbo wa injili uliojulikana kwa jina la NAKULILIA JEHOVAH.nimekua nikiutazama wimbo huu bila kuuchoka toka enzi za miaka...
Daaaah aisee huu wimbo wa Meja Kunta uitwao Demu wangu aliowashirikisha Mabantu ni mkali sana kuanzia audio mpaka video.
Video yake kali sana na amenikosha zaidi kwa kumuweka Tunda kwenye video...
"Oooh pesa oo pesa ,kila mtu anakuhitaji,katika dunia hii.
Oooh pesa una majina mengi ,oooh pesa wewe kitu gani"
Old is Good
Wakuu naomba msaada wa wimbo huu mana nimeutafuta bila mafanikio
Wanaburudani habari zenu,
Mziki wetu kuna vionjo fulan vya zaman vinakosekana,
Hasa kwenye kiitikio ungemkuta dully Sykes, nature au q chief
Hebu tuanze na juma nature,
1. Radhia
2. Mzee wa...
Kwanza tuwe wawazi kwamba miaka ya 1990 ukionekana unaimba bongo fleva ilionekana we ni muhuni, mwizi au mvuta bangi,
Haikuwa kazi ndogo sana kuifanya bongo fleva Ikubalike,
Kubali ukatae hawa...
Jamani leo nimeona sio mbaya nikishare muvi kali ambazo mimi nimezikubali mwaka huu2022. Muvi zenyewe ni hizo hapo
1. Minions Rise of Gru (2022)
2. The Bad Guys
3. Uncharted
4. Sonic the...
Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa.
Hivi hii ndio finest yenu?
Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa??
Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani?
Kuna mtu...
1. Children in the Street
2. Don't Cry
3. Feel Alright
4. House of Exile
5. Love Me the way I am
6. Mama Africa
7. Peace Perfect Peace
8. Prison
9. Puppet Master
10. Reap what you Sow
11. Reggae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.