Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Napenda Sana mziki wao Sema sijaona mwenzelezo wa mtindo wa masahi hip hop
0 Reactions
3 Replies
406 Views
Na Gwamaka Mwamasage “Maestro" Mawasiliano: +255764806251 +255620152422 SURA YA KWANZA: NAITWA ALMAS HOBELA Hali ya anga ilikuwa tulivu kabisa, ni utulivu uliofanana na asubuhi ama jioni lakini...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Hiki ni kisa cha mchungaji ambaye yeye alikuwa akimwamini Mungu kiasi kwamba alishindwa kutambua njia anazotumia Mungu kusaidia mtu anapokuwa kwenye tatizo. Mchungaji huyu alikuwa anaamini kwamba...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo. Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
PUNDA. 1 Mzigo ukimzidia, haraka anatembea tajiri humfaidi, jashole kufurahia hata akijitahidi, atazidi kuumia Punda hawezi faidi, jasho lake hasilani 2 Viboko anatandikwa, atembee kwa haraka...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
CHINI YA MPARACHICHI. 1 Kivuli chake kitamu, mfaidi hafaidi parachichi zake tamu, wengine wanafaidi matunda yake ni sumu, tiba yao makuadi Chini ya mparachichi, nadondokewa na mawe. 2 Matunda...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
HEKALU LA WACHAWI sehemu ya 3 Mtunzi@NijoSenso. Inaendelea.... Sitasahau siku bibi aliponiita ndani na kunikalisha kwenye ngozi nyeusi pale chumbani kwake. Siku hiyo ndiyo iliyobadilisha maisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hiki ni kisa cha mtu aliyechelewa safarini. Alipofika kwenye stesheni ya treni alipanda treni ya kwanza kuwasili mbele yake. Na kwa sababu ya uchovu alisinzia kwa muda na kisha baadae kuamka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tupo wengi humu, uzi upi unaofuatilia humu JF ulio na mafunzo ndani yake na wenye kuburudisha? Au ni riwaya gani unaifuatilia humu ni nzuri na yenye mafunzo na maadili mazuri? Karibu unijuze
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Wakuu kwema? Poleni na majukumu. Nimetafuta sana Lyrics ya ngoma ya Marehemu Godzilla. Ngoma inaitwa Get off my way. Kama kuna mdau anayo Lyrics plz naomba aitume hapa. forgive me
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kati ya filamu Bora za mwaka huu basi filamu ya PREY ipo IPO katika chart za juu haswa hii chuma IPO Chini ya kampuni ya 20 Century Director wa hii movie ni Dan Trachtenberg na Story ya movie...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Hii ngoma hapa mmiliki wake ni artificial robot aliyekuwa signed na record label kubwa. It is all AI naona ufake umeingilia mziki. Soon tutaona artificial movies
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Nyimbo za Singeli ziliibuka miaka ya 2013 na msanii mkongwe Dogo Niga Simela kutoka mburahati akivuma na kupendwa na wengi wanaseme Niga ndio muasisi wa Singeli kipindi hicho Singeli ilipendwa mno...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
14 Reactions
208 Replies
77K Views
Gereza la Kifo Mtunzi - HAMISI KIBARI UTANGULIZI Hamisi Hussein Kibari ni mtunzi wa riwaya na mashairi, mwandishi mkongwe wa habari nchini na mtengeneza filamu. Kwa kipindi cha takribani miaka...
16 Reactions
301 Replies
46K Views
RIWAYA; MZIGO MTUNZI; AHMAD MNIACHI SEHEMU YA KWANZA Niliwasili Dar es salaam saa tisa na nusu alasiri, ilikuwa ni mapema zaidi kuliko nilivyotarajia. Mvua ambayo ilinyesha masaa kadhaa...
1 Reactions
54 Replies
31K Views
Kwanza niwape pongezi watani zetu kwa kuendelea kupata vijambo vya kutusema na kitunanga,hakika tangu siku ile ya mwananchi tumekuwa katika wakati mgumu sana mpaka siku ya kipigo cha jana katika...
0 Reactions
2 Replies
727 Views
Mlete mzungu bongo moja la ngoma. 🙌🙌🙌
2 Reactions
1 Replies
664 Views
Habari. Kuna series ambazo ni ngumu kuzielewa unaweza kumaliza hadi season moja hata zaidi ila uelewi kabisa nini kinachozungumzwa/ lengo la season/movie husika. Hivyo basi kupitia huu uzi...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Nimejitahidi kutafuta sio Google, you tube na baadhi ya sites ambazo ziliunganishwa na links za kuupaata huo wimbo kama humu jf niliona links, cha ajabu nikiingiaa nakuta blank page, naitafuta...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Back
Top Bottom