Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya ameonesha kukerwa na kitendo cha Mgombea Urais kupitia Azimio nchini Kenya, Raila Odinga kumwalika Diamond Platinumz kufanya show kwenye kampeni zake leo...
Huwenda hii ndio animation itakayouza Sana mwaka huu na Kali pia
Imesetiwa na director Kyle Balda
Ndan ya studio kuna watilia sauti magwiji kama Dolph iandeni, Michele yeoh na Claud Van damme...
Baada ya kushindwa kutoa burudani Agosti 8, 2022 kwenye Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria alikamatwa na polisi na kuweka kituo cha Oysterbay jijini Dar es salaam.
Leo...
Wakuu salamu
Husika na Title ya huu uzi.
Tuzo za muziki za Tanzania zinatolewa usiku huu ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa Tuzo hizi nchini Tanzania, tuzo za mwaka huu zinatolewa kwenye...
Habari za leo Wakuu!
Leo nakuja na uzi maalumu kwa wote wanaohitaji ushauri unaohusiana na suala zima la mahusiano, kwa kutumia baadhi ya maneno kutoka kwenye nyimbo za wasanii mbalimbali ( Hasa...
Weekend iliyopita ilikuwa siku nzuri kwa Diamond Platnumz wakati mgombea Urais Raila Odinga aliposimama mbele ya Wakenya na kuwaomba kumpigia kura kama Rais ajaye kabla ya Uchaguzi Mkuu...
Habari zenu wakuu,
Wanasemaga muziki ni food to the soul, na Mziki pia ni universal language kwamba unaweza usielewe lugha ya kinachoimbwa lakini nyimbo ikakugusa sana.
Binafsi Kuna nyimbo...
Hello ladies in Gentlemen, how are you doing well today? I want to talk about stranger things. It's a great movie to be honest but there's one problem. it's not well thought out. and there are...
Yaani nacheki cheki hapa dah nimeishiwa nguvu kwanza naona yule jamaa sijui chawa anaitwa bill sepenga ndio mtangazaji akiwa na dullah.
Hiyo mosi sio mbaya
Pili wageni wenyewe sasa wameleta...
Habari za wakati huu
Kwa ambao hawafahamu storyteller ni wale wasanii ambao nyimbo zao zipo kwenye mfumo kama wa simulizi flani hivi. Kifupi aina hizi ya nyimbo huwa hazichoshi kusikiliza miaka...
Tukisema nyie bado Sana kimataifa mnabisha [emoji28]
Unaambiwa Aziz k na mayele walipoingia tulipiga kelele Kama limefungwa goli...[emoji28][emoji28]
Hapa naplay Ngoma ya motra the future...
Tuna safari ndefu sana katika maisha na kila mmoja anakutana na mikasa yake. Lakini katika yote hayo yaani safari ndefu na mikasa ambayo tunakutana nayo kuna kitu kimoja tu ambacho kinatufanya...
Mwaka jana Ngowi alibuni jezi za Yanga ya Nyumban ile Kijan akaharibu sana
Mwaka huu the same Jezi ya Nyumban kaharibu(tusiogope kusema ukweli wanayanga ameharibu)
Mwaka Jana Vunjabei...
Habari za wikiendi..
Kama nilivyouliza hapo juu ni jina lipi la hadithi,kitabu au novel huwa linakuvutia sana au unalipenda.
Mimi napenda sana
Why men love bitches.
Manipulated man.
Tutarudi na...
Natamani sana watu wote tuwe kama Mandonga, si kuwa watu wa kushindwa ila kuwa na ile roho ya upambanaji. Mandonga anajiamini sana, ni mtu anayekuonyesha kwamba kila kitu kinawezekana! Hutakiwi...
TUJIKUMBUSHE [emoji4]SENSA NA NGOSWE, "Penzi kitovu cha uzembe"
KISA CHA NGONSWE NA SENSA
[emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427]
MITOMINGI; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza...
Habari yenu jamii, mko salama jamani,
inaniuma namimi, twapotea hasirani,
twakosa tiba kwanini, nchi ni yako namimi,
leo nahitaji nipate, afya ya uchumi.
watu wanahangaika, ajira zionekani...
Mtunzi Nyemo Chilongani SEHEMU YA 01
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2005, mwaka ambao nilimaliza kuchukua Diploma yangu ya Uandishi wa habari katika Chuo cha Uandishi cha DSJ (Dar es Salaam School of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.