Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Ridhiki haiji yenyewe hata ukilala mlango wazi/ Maisha Bora yanajengwa na juhudi yako ya kazi/ Kazi sio kushuka, kazi ni kupanda ngazi/ Ukipotea,umepotea hata ukikesha unavunja Nazi/ Haishangazi...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Habari wakuu, Naomba msaada ili niweze kupata nafasi ya kuonyesha uwezo na kipaji changu cha kuimba ili kutengeneza nafasi ya kuweza kurekodi wimbo. Pia connection na wadau wa muziki nahitaji...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Singida, Dodoma... Man, I wish ungemuona, anavyojitingisha Jinsi nyuma alivyoshona Yeah! Singida, Dodoma... Yeah, mtoto amenona na anavyotetemesha Zaidi hata tranformer/ X2 (Verse 1) Yo! Kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni Moja ya series Bora kabisa Kwa mwaka huu humu ndani kuna visa na mikasa mingi na mauji ya kutisha Humu ndani kuna yule mchizi aliyecheza kings man ,taron egerton Bwana Jimmy Keene(taron...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari kuu wakuu. Bila shaka ni wazima wa afya tele. Lengo la huu uzi ni kuwaleta pamoja wapenzi wa music wa Country. Music huu ni so genuine wenye asili yake hasahasa huko Texas Marekani...
3 Reactions
6 Replies
869 Views
Nani amwambie huyu dogo ukurasa wake muonekano mpya hauvutii,hauna habari za maana tena
1 Reactions
4 Replies
609 Views
Hapa naamanisha Movies za kuangilia Never Miss. Hapa naangalia from the Actor point of view (kwamba wameitendea movie Haki)…. Story ni ya kukata na shoka na Dialogue ni ya kusisimua… Kwangu...
0 Reactions
93 Replies
10K Views
Habari wana jukwaa, Samahan naomba kuuliza naweza kupatawapi tamthilia zakizungu zinazoongea kwa kiswahili kama zile za azam TV (yaan sio kutafsiriwa na ma DJ) unakuta nisauti imeigizwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Nipo nimeamka zangu nikawasha tv kila channel ninayoweka naona nyimbo za injili tu dah. Naamini wengi wetu japo sio wote mmekuwa ni wafuatiliaji wazuri tu wa nyimbo za injili. Ukifuatilia kwa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
"Joseph mwanangu tumenzingirwa na watu nje ya nyumba yetu wakiwa na lengo la kutuua!". "Wanataka kuwaaua...kivipi!...kwanini?!. Nini sababu?..". Maswali yalinitoka mfulilizo kwenda kwa baba...
1 Reactions
1 Replies
641 Views
Kuhusu Historia iliyowahi kutokea hapo zamani iitwayo Ottoman empire/Osman, nilikuja na ombi la kuongezewa muda sisi kama wadau na wafuatiliaji wa tamthilia hii inayopendwa, inayosisimua na...
0 Reactions
2 Replies
511 Views
Tanzania ni nchi yenye makabila takribani 120, Makabila mengi kati ya hayo ni wabantu ambao kimsingi wanapenda sana kufanya muziki na kuimba. Kama ilivyo kwa vitu vingine, ni kawaida kwa mmoja...
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Wazazi na walezi wamekua na mitazamo tofauti hisusani katika suala zima la watoto wao kujingia kataika tasinia ya Uwanamitindo (walimbwende) suala hili limekua likiwatia ukakasi mkubwa wazazi na...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Msisitizo: Riwaya imekamilika, kila siku itakuwa inatumwa sehemu moja mpaka itakapoisha. Hakuna longolongo, hakuna kuchelewesha wala hakuna kununua. Mfalme Anataka Kuniua | Sehemu ya Kwanza...
5 Reactions
55 Replies
11K Views
Burudani ya muziki imekuwa chanzo cha kuleta faraja baina ya akili, mwili na roho kwa walio wengi. Muziki ni ajira kwa vijana, watoto na wazee. Muziki unaeleza zetu hisia, taswira, maono na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta Mwandishi: Mwalimu Makoba Sehemu ya Kwanza Nilipita siku ya Jumatatu huko Mwananyamala katika nyumba za ndani sana. Baada ya kuvuka mitaro mitatu...
9 Reactions
129 Replies
17K Views
Fahyma au Fahyvanny ni mwanamitindo na sosholaiti maarufu nchini Tanzania ambaye kwa mara nyingine ameibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba uzuri wake umeongezeka maradufu...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Wapenzi wa Rumba zito na tam la Franco Lwambo Makiad njoo mnikumbushe jina la wimbo anaoimbaga mwishon anamalizia "OMA" sijui jina la huu wimbo, yaani huwa nauskia tu watu wanaskiliza na...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu wapenzi wa mfululizo wa movie za Marvel na super heroes hizi sasa tuna hii series mpya ambayo mpaka naandika andiko hili zipo Episode 5 season ya kwanza. Na imebaki Episeode moja...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni usiku wa manane, Diamond yupo chumbani kwake, alikuwa amechoka, usingizi haumpati kwa sababu anaifikiria safari yake atakayoianza kesho kuelekea kwenye matamasha yake nchini Marekani. Kichwani...
11 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom