Sauti yako imekuwa ikijirudia kila Mara ubongoni mwangu pale ulipotaja majina kama mrushaka, kayanga kaisho na mengine yaliyokuwa yakiwakirisha miji ya huko kwenu wilayani Karagwe. We siyo ndugu...
Maisha ni safari ndefu yenye Kila aina ya matukio yafurahishayo na kuhuzunisha pia.Miaka ya mwanzoni mwa 2000s nimecheza Sana mziki hapo Darwest.Sasa hivi sipo dar na sitegemei kuishi huko tena...
Katika movie za kibongo ambazo binafsi zilinikonga roho ni hii sema ni movie ambayo haiongelewi saaana ukiaangalia uta-enjoy nakama si mtu wa kuelewa haraka pia itakuchanganya , naweza sema ni...
Wiki iliyopita stamina alitoa wimbo mmoja wa future wife.
Hapa katk verse ya kwanza alikuwa anamwita aje popote alipo ila verse ya 2 alimwambia asubir kwaza mambo sio poa. Ila mwisho kaletewa bi...
LOVE BITE
♥️🔥
SEHEMU YA KWANZA ( 01 )
Ni siku ya jumapili iliyokuwa na kila aina ya mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbali mbali walionekana kwenye kumbi za starehe.
Wengi ambao walikua...
Ama kwa hakika aliyewahi kuthubutu kusoma kazi za huyu mzee anaweza kusadiki maneno yangu kwamba ni kalamu moja flani hivi yenye utulivu ndani yake..... riwaya kama MWIBA...THE GOD...
Wakuu salaam kwenu...
Jumapili ya leo nimevutiwa Sana namaneno ya wimbo wa kwaya ya uinjilisti Arusha mjini.Wimbo niwazamani kidogo Ila maneno na ujumbe wake upo imara;
Mambo haya...
Ilikuwa Jumapili nikamwona Rafaeli amekaa juu ya nini?...
Ni juu ya baiskeli
Namuuliza anaenda wapi kanambia anaenda Ferry
Huko Ferry ni kwa nani?
Kwa lile jitu tapeli
Sasa utamwona wapi?
Atakuwa...
Verse 01: JayMo
Mwenyezi nihurumie kiumbe Chako/
Mbele nitafikaje bila mwelekeo wako/
Kwenye Giza siwezi ona bila mwangaza wako/
Mja wako Niko chini ya miguu yako/
Naomba uninusuru na haya...
Matuga ni kijana kutoka kijijini, alianza hustle zake baada ya kumaliza darasa la 12. Aliuza mazao na kuweka pesa mpaka alipofanikiwa kupata nauli na hela kidogo ya kujikimu alikwenda Afrika ya...
Wakuu habalini za jioni kwa wote mlioko jukwaani hongereni kwa kazi ya kulijenga taifa...nimenzisha uzi huu spesho kwa Madj's wote walio wahi kuwa katika kazi hii na watakao penda na ambao...
Ukiwa mfanyabiashara, unaambiwa hata uwezo wako wa kufikiria utumie kwenye kufikiria ni kwa namna gani utaweza kuingiza pesa zaidi ya unavyoingiza kipindi hicho. Yeah! Ndiyo maana halisi ya kuwa...
Nani anaikumbuka hii movie, nadhani ni ya miaka ya 80s au 70s, plot ni kwamba, wanajeshi wa kizungu wana kwenda mkomboa, jamaa mmoja, huyo jamaa ni Mwafrika nadhani ni alikua politician, walipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.