Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hili suala linazid kukua kila siku movies mbaya zinaongezeka kwa kasi kubwa sana, Movie nyingi siku hizi zina agenda za ajabu hadi unashangaa hivi waliwaza nini kutengeneza huu upuuzi, hapo chini...
13 Reactions
116 Replies
10K Views
MPELELEZI TOKA KUZIMU UTANGULIZI Poaba Wilabo, ni mfanyakazi kwenye taasisi nyeti ya upelelezi nchini inayoitwa Self Investigation Unit au kwa kifupi SIU akiwa ni shushu anayetegemewa sana...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Ni yule mwenye kijungu matata. Yaelezwa kuwa hajatulia. Inasemekana amekuwa anajivunia uzuri wake. Makubwa sana yamemkuta Jionee mwenyewe
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna vijana humu majumbani kwenu mna viwanja vya kufagia halafu Bado mnashindia kutukana watu humu Jf, Sisi wengine tuna Backyard ina garden majani na maua tutafagia wapi sasa..?
1 Reactions
6 Replies
700 Views
MWANZO Hebu jaribu kuwaza, upo ofisini kwako. Unapata taarifa kuwa mke wako kipenzi amepata ajali ya gari. Walioshuhudia wanakwambia watu watatu wamekufa hapo hapo na mke wako amepakiwa katika...
4 Reactions
41 Replies
11K Views
Woudaaa Junior Chalii, maisha niliochezea yalikua ni balaa. Hapa town yalikua ni balaa Nilijifanya mkora kipindi nipo skuli. Wazazi na waalim nkawaletea kiburi. Arusha Sec ndo shule nilioskul...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu habari za mida hii! Wakuu naombeni Msaada kwa mwenye nyimbo za kwaya ya Huru waimbaji wa sifa, Anisaidie kunitumia WhatsApp nimejaribu kutafuta Google,Youtube na kwenye vibanda...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
SEASON 01 TAMTHILIA: MTU ALIYETHIBITISHWA KWA MAISHA YANGU CERTIFIED PERSON OF MY LIFE (CPL) ( 1-5 ) [emoji3590][emoji91] SEHEMU YA 01. D ARASANI: llikua ni muda wa kipindi cha ujasiriamali kwa...
2 Reactions
119 Replies
35K Views
THE WORLD IN THE NEW WORLD (Dunia ndani ya dunia mpya). SEHEMU YA…………………………01. Mtunzi: Saul David Tel: +255756862047 Email: Saulstewarty@gmail.com ****** Tarehe 29-09-2008. Dar es Salaam -...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Tangu mwaka huu uanze naona kama ma-DJ au watangazaji au waandaa vipindi radio one wameamua kutufanya sisi washabiki wao kama mazuzu. Kumekuwa na "mixing" kama nne ambazo kila siku zinatumika...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii nyimbo ni vile kusema namna shemeji 'me' au wifi 'ke' yenu anavyonipenda ni kama ameimba yeye kuniimbia mimi. UPDATE Nimetajiwa mwimbaji wa nyimbo pm kwa kutumiwa link 👇👇👇👇👇👇👇👇👇
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Naomba mwenye playlist ya nyimbo za gospel zinapigwa kwenye masherehe (harusi) plus na zile za zamani kama vile "eeh yahwe simbanga, hakuna Mungu kama wewe, ni kwa neema. Natanguliza Shukrani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za injili, tukutane huku kwenye hii website ya nyimbozainjili bado matengenezo yanaendelea, hususani muonekano, lakini unaweza kusikiliza Gospel. Injili lazima...
9 Reactions
62 Replies
49K Views
Wale wakongwe wenzangu watakubaliana nami kuwa Hip Hop ya Bongo haikuwa nyuma katika mistari makini ,majigambo na style za kutisha. Kwa sasa wapo vijana wanaoweza kuuendeleza Music huu hapa Bongo...
4 Reactions
189 Replies
61K Views
Wakuu naomba mtu alie na huu wimbo tafadhali uliimbwa kwenye miaka ya mwanzo ya 2000. Ukazuiliwa na watetezi wa haki za wanawake... remix yake nadhani ilikuwa ni genda heka. =======
0 Reactions
17 Replies
8K Views
KABURINI AMA GEREZANI! NA; BAHATI MWAMBA SIMU; 0658564341/0758573660. 1: KIKAO… Ilikuwa ni ndani ya baa moja maarufu sana ndani ya jiji la Dar es laam, baa ambayo milango yake haikuwahi...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Pamoja na Tanzania kukubalika na wengi kwamba imeishikilia bendera ya rap ya Afrika Mashariki kwa historia yake yote, mchango wa hawa jamaa kwenye sanaa si wa kubeza. Saigon was in his bag on...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Kwakweli nisiwe mnafiki,zipo nyimbo nyingi sana zinazopendeza kusikiliza. Ila ukweli mchungu R kelly katika safari ya maisha yake,hii nyimbo "YOUR BODY 's CALLING "" nibonge mojaa la nyimbo,hasa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Congratulations I have a message for you God has sent me to you Listen Say you can never be the one But God make I tell you say Say now you him choose In one month in one week You will sing a...
3 Reactions
3 Replies
566 Views
Back
Top Bottom