CHORUS:
hii ni kwa wote mademu watafutaji,
hii ni kwa wote mademu watafutaji,
zidisha nguvu kwenye kazi, watafutaji,
sasa nasema nao nyie, watafutaji,
zidisha nguvu kwenye kazi, watafutaji.
sasa...
Wema wa BWANA na fadhili zake zinanitosha, Kukaa nyumbani mwake MUNGU wangu, siku zote za Maisha yangu!
Siangalii wanadamu, Namuangalia MUNGU wangu peke yake! Aweza kunitoa kwenye shida, na...
Nyie kuna huu wimbo unaitwa NENDA wa msanii mmoja anaitwa STRONG DADY huyu msanii ni Upcoming ila balaa lake sio dogo jamani.
Mimi nimeguswa sana na huu wimbo wa huyu msanii STRONG DADY wimbo...
PENZI LA PENINA
Chapter 1
Oh lameck tulia bas tusifanyie hapa.... Unaona sasa wanatukuta watu... Usifanye hivo basi mpenzi...... Haya weka basi mara moja oh nilishutuka toka ndotoni..
Ilikuwa ni...
IMESIMULIWA NA DOKTA MUNGWA KABILI
SIMU : 0744 - 000 473 .
MISUKULE WA NGUVU ZA KIUME
Msukule ni nini ?
Msukule ni mtu au sehemu ya mtu iliyo chukuliwa na...
VERSE 01;
kimo cha hekima za ndugu sasa ni dhaifu,
imani zao chache na wamekosa uaminifu,
wako radhi kuua ndugu na kumdhulumu mkufu,
au kama si kumuua basi watamuacha na upofu,
wakati tafsiri wa...
Watoto wa mjini Dar waliamshwa na magoma hayo.
Kama ukucheza hayo na umri wako wa Sasa ni 40-50 elewa wewe sio wa mjini.
Sitaki kusema majina ya watu wenye majina yao maana leo wapo kivingine...
Kuna tuhuma imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa azam tv kupitia kipindi chao cha Toonami walirusha katuni yenye maudhui ya hovyo.
Azam TV wametoa utetezi kuwa sio ukweli, na ni...
Baada ya kuwa kimya kwenye sekta hii ya uandishi leo naangusha wino wangu kuwapa simulizi. Huku nikiwa na machungu ya kifo cha muandishi wa zamani wa masimulizi ya kurudi kwa James akeke basi...
Hiki kipindi kinafurahisha na kuburudisha. Kinachonifuarahisha ni namna wadada wanavyochagua wanaume kwa sifa za kipuuzi kama Urefu, mara rangi ya ngozi na kadhalika.
Wadada wanataja sifa fulani...
Habari wakuu..
Hapa bongo kumeibuka kitu kinachoitwa EP ,mpaka Sasa naona neno album limeshaanza kupoteana kabisa kwenye tasnia ya mziki ,kila msanii anajificha kwenye EP ,mara EP ya nyimbo...
Kwa kiasi kikubwa kwenye mechi za hivi karibuni Djigui Diarra ameanza kutoa ushuhuda wa sifa alizopewa wakati wa usajili wake. Screen protector, mdaka mishale, mdaka mabomu na na sifa zote niliona...
Kama nilivyoahidi siku za nyuma, hatimaye naomba nilete kwenu maelezo yaihusuyo iliyokuwa Wenge Musica 4X4 Tout Terrain BCBG.Kiufupi Bendi hii ndiyo ilini-inspire kuupenda muziki wa kongo lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.