intro:
What don't kill me, make me stronger,
Bado najiamini na bado nasonga
What don't kill me, make me stronger,
Bado najiamini na bado nasonga
I'm survivor, i'm survivor, i'm survivor...
verse...
RIWAYA YA KIPELELEZI: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA KUMI NA NNE
Daniel hakusubiri.
Alichukua lile begi lenye laptop na kutoka nalo nje akiwa...
Haya wadau wiki hii najua wengi wamesafiri kwenda maeneo mbali mbali,,,tuwasaidie wale ambao wapo mikoa ya ugenini kufahamu wapi wanaweza kwenda kupata moja baridi...baadhi ya maeneo ni;
1.New...
Uzi huu wakuu uwe wa kupatiana lyrics za nyimbo mbali mbali ziwe za sasa za zamani.
Ziwe za muziki wa aina yoyote kikubwa lugha ieleweke kwa hadhira legwa.
Mimi naanza na...
Wakuu naomba msaada wa kupata jina la series kali ya kucheki weekend hii. Mimi ni mpenzi wa series za Kijasusi, Lovestory pia ila iwe Kali sana.
Mfano wa Series ambazo tayari nilizitazama na...
♦️Nimefuatilia maudhui ya films za KITURUKI za kihistoria ambazo zinahusisha kwa kiasi kikubwa mapambano ya mapanga nikaona kwa mawazo yangu hazifai kuonyeshwa Tanzania
♦️ Zinaonyesha ukatili wa...
Duniani kuna kazi nyingi sana za mziki ambazo kutokana na culture barriers au kukosa promotion zinashindwa kutoboa but ndio nature ya muziki. Muziki mzuri huwa unakosa promo hivyo kufa kibudu na...
True Story. (Simulizi ya kweli yaliyonikuta kwenye maisha yangu)
SEHEMU YA KWANZA
Mwaka 2001 mimi na familia yangu tulihamia Mkoa wa Mbeya baada ya Mzazi kuhamishiwa kikazi huko, hivyo...
Usione watu wanapita pita mitaani ukadhani wana raha,
Usione watu wanasulubika mitaani ukadhani walishapataa,
Maisha yanatisha, maisha yanaumiza jamaani,
Maisha yanatisha maisha yanaumiza moyoni...
Mwaka 2006 tarehe kama ya leo ilikuwa ya majonzi saana kwa wanafamilia na wapenzi wa utamaduni wa hip-hop na mziki wake jijini arusha, Tanzania na dunia kwa ujumla.
Father nelly au Nelson...
Wadau nasikiliza hii ngoma ya Godzilla inaitwa STAY[emoji119][emoji119]
Hii flow sijawahi kuona, Hip Hop ilikuwa imepoteza mtu kweli. Yani hii Stay dah[emoji119][emoji119]
R.i.p Zizi.
Tuongelee filamu kidogo..
Inasadikika kuwa baadhi ya movies (Filamu) ukitazama zinaweza kukufundisha ujuzi au masuala ambayo hukuwahi kuyafahamu kwa urahisi kabisa.
Mfano movies zinazohusu...
Kill the boredom
1. Money Heist Season 1 - 4
2. Ozark Season 1- 3
3. Sex Education Season 1 – 2
4. Power Season 1- 6
5. The Mentalist Season 1 - 7
6. Altered Carbon Season 1 - 2
7. A Million...
Mtunzi: Iddi Makengo
BABA JOAN; MIMI NA MWANANGU JUU YA KABURI LA MKE WANGU!—SEHEMU YA KWANZA
“Baba kwani na Mimi ni mchawi kama Mama?” Joan aliniuliza tena, wakati huo tulikua tunaweka mchanga...
Naenda kwenye mada! Nimechukua namba ya mhadhiri wa chuo cha NIT asubuhi hii hapa Big Brother kwa kuona nasikiliza hili goma.
Aisee 'mademu' wanadata hatari, hii ni history na sitosahau...
Wasambaa wana ngoma yao moja inayofahamika kama Mdumange ambayo huwa inachezwa taratibu huku maungo yakitikishwa na wachezaji walio katika umbo la duara, wakiwazunguka wapigaji vyombo kama vile...
Tafadhari shufu kichwa cha habari hapo juu
Mpaka Sasa Haijatokea Bandi Yoyote Kufunika Video ya "Mapenzi Kitu Gani" Ngwasuma Miaka ya 2007 huko
Video haijapata mpinzani mpk leo,,
Full...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.