Wanaume tumeumbiwa huu ulimwengu.
Movement na maisha ya sasa yamefanya wanaume kuonekana watu wa chini sana.
Wanaume tusimame.
Lakini najua hatuhitaji nguvu au movement kama za wenzetu ili...
Trailer no. 1 imetoka leo. Hatimaye baada ya miaka 13 ya uvumilivu kitu kitarudi tena kwenye big screen mwaka huu.
Lakini itaweza kukata kiu yetu na kufanya vizuri sokoni kama ilivyo fanikiwa...
kuna kampuni nyingi lakini zile maarufu zaidi zinazopendwa na zinazotoa filamu kali kama hizi
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji117]PARAMOUNT PICTURES...
Just the other day, the other day
I was talking to the weather man
About today oh oh oh
And all, all he could say
Was no one knows tomorrow
See I can read the weather child
I can say maybe the...
Bila shaka umeshawahi kusikia mstari fulani kwenye wimbo fulani wa miondoko ya Hip hop ambao ukiutafakari unakua hauna maana au hauusiani kabisa na maudhui ya wimbo husika.
Mimi nimewahi kukutana...
Hello,
Naomba tusaidiane kujuzana ni miziki gani ya kibongo mizuri imetoka kwa kipindi hiki kuanzia Januari had Mei. Nikipata hata 30 itakuwa vizuri.
NB: Sihitaji nyimbo za Dini with all due...
Song Lyric: at Angalia Video na Lyrics hapa Muziki and Lyrics
Mi amor
Te amo
Ohh baby mon amor
Hakuna mwingine wa kumsikia
Kwenye masikio yangu
Hakuna mwingine wakumuona
Kwenye macho yangu...
Kiukweli wamepita wasanii wengi Tanzania wenye weredi na ubunifu mkubwa walitunga tungo zenye kubamba haswaa ila katika kizazi hichi tulicho sasa wapo wengi wanafanya vizuri Ila huyu mmakonde...
Episode 1.
Bado naikumbuka siku ya kwanza kufika India,,
Moyo wangu ulikuwa na hofu na wasiwasi na huko niendako.
Naikumbuka siku niliyoishiwa pesa za matumizi na kunifanya niwe street boy...
Girl let me show you
How much I love you
With my lips on your own
Let my hips do the talking
Let me show you
How much I care for you
You can relax let me work it
I'll go down on you and take you...
Habari wakuu,
Sichelei kusema kwamba ,hiyo Royal tour tumepigwa na kitu kizito kichwani,
Nimeitazama Royal tour, Je, Ile ni Royal tour au SSH DOCUMENTARY?
Naona Kama inaonesha maisha binafsi ya...
Miaka miwili iliyopita andiko hili " LEO TUKO HAPA , KIINGILIO 5000/- " lilikuwa andiko maarufu mno , hasa maeneo ya Kinondoni , Temeke kata ya 14 na Chang'ombe jijini D' Salaam.
Andiko hili...
Kusema ukweli hili ni jipya sana kwangu kuona Rais anacheza sinema na raia wa nchi nyingine.
Nilitarajia kuona sinema imechezwa na Watanzania tu, na kuongozwa na Watanzania, na si vinginevyo...
Habari za Jumapili wana jukwaa wenzangu?
Samahani kwa usumbufu, leo katika pitapita zangu huko mitandaoni nikajikuta nikesikiliza nyimbo mbili ya huyu jamaa naayejiita JAY Z a.k.a Jigger.
Kuna...
Shindano la urembo la Miss Rwanda limesitishwa baada ya mwandaaji wake Dieudonné Ishimwe kukamatwa mwishoni mwa mwezi Aprili kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono.
-
Ishimwe, 36, mwanamuziki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.