Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakenya ni hatari kwenye social network Ni kama wanashindia uko particularly masister duuh( slay Queens) yaan from TikTok, Instagram sijui zoom sijui Kwa Facebook mana uko Sina hata account Yaaan...
1 Reactions
1 Replies
670 Views
Jana wakati wanatambulishwa wasanii wa WCB Bungeni, sikuona Rayvanny akitambulishwa, au ndio ukweli ametoka WCB
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nikiwa home jioni unakuta familia inaangalia tamthilia za kibongo sijui "JUA KALI", LA FAMILIA" n.k yaan dakika 2 nyingi lazima usikie TUSI Kama sio KUNYONYANA NDIMI au mtu kageuka mbuzi (uchawi)...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kweli baada ya mishe mishe kuna time ya kupata refreshments maisha ndo haya haya. Baadhi ya actors na movies zao walizocheza 2020-2021 ambazo ni kali sana The misfits 2021 humu unakutana na...
5 Reactions
126 Replies
10K Views
Kwa kweli nikiusikiliza wimbo wao wa "By the river of Babylon", aisee, sauti zao ni tamu mnooo!! Utafuteni YouTube mshuhudie wenyewe!!
3 Reactions
5 Replies
522 Views
a. Lyrics b. Instrument's c. Beats Mimi instrument + beat tamu lain hunifanya nioze mazima kwenye music Mfano wa nyimbo zinazonimalizaga Bryan adams - everything I do* Harmonize - one...
1 Reactions
6 Replies
607 Views
Kuna band moja ilikuwaga inaitwa MOKIBO SOUND (kama sijakokosea),kuna mtu anaweza akawa na nyimbo yoyote ya kwao?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Dogo mbuzii young lunya anaupga mwingiii but anachokifanya young lunya killer msodokii kakifanya miaka 10 iliyopitaa so hakuna kulinganisha young lunya ni mkalii ila kufkia levels za msodokii bado...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kibuisa Mpimpa - Werrason, sijui hata maana yake Werrason - Wenge Maison mère Kibuisa Mpimpa - YouTube Yaani, to my very soul basi tu. Na wengie mtupiepo...
8 Reactions
175 Replies
46K Views
Wazee wa hiphop ,jana nimeskiliza ngoma mpya ya hao jamaa hapo juu,ngoma inaitwa chelea pina Hakika Chidi benz kakimbiza sana humo ndani.. Ngoma ni hii hapa Sent from my SM-G920P using Tapatalk
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Simulizi; "NITAWATETEA" Sehemu Ya Kwanza (01) Mwandishi; MARIAM YAHAYA Namba; +255744654969 ***************************** RORYA Ni katika kijiji cha Nyanchabakenye, ilikua siku ya jumamosi...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Nazitafuta sana hizi nyimbo za hii band. Mwenye nazo naomba, nimejaribu kuzigoogle hazipo. You tube zipo walizofanya 'live' jukwaani mimi nataka Original zao. "Mji ule unameremeta umepambwa maua"
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Katika swala ambalo Bado ni chanagamoto katika SEKTA ya FILAMU ni maendeleo ya kimtandao, wakati huo tulikua tukiangalia FILAMU kupitia chaneli zetu na baadae kuanza matumizi ya cassette (Deki ya...
4 Reactions
2 Replies
905 Views
Wale wa penzi wa movie, aisee tafuteni hii movie ya Death on the Nile imetoka mwezi wa pili. Bonge la movie na bonge la story. Sema sio kwa wale wanaopenda movie za mapigano maana humu hakuna
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda naomba niingie kwenye mada tajwa. Ninatamani sana kujifunza uandishi wa nyimbo, licha ya kujaribu ku "Google" ili kupata muongozo nimejikuta sisogei mahali popote. Kwa...
1 Reactions
0 Replies
742 Views
Habari humu ndani. Wakuu ninaomba msaada wa kuipata movie hii ya The BERLIN FILE. Nimeitafuta bila mafanikio. Natanguliza shukran
0 Reactions
9 Replies
862 Views
Mabasi ya kifahari 89 yalitumika kusafirishia timu za soka na wajumbe walioshiriki katika michuano ya African Cup of Nations (AFCON) nchini Cameroon hayajulikani yalipo.
1 Reactions
1 Replies
687 Views
Ushindi wa leo ulikua ni uhakika Goli 4 nyepesi point 3 za uhakika THE GUNNERS [emoji95] Arsenal arsenal fan
3 Reactions
1 Replies
437 Views
Back
Top Bottom