Anaitwa Samson Noha...(Maarufu kama Jettyman),Licha ya changamoto ya kiafya anayopitia zaidi ya miaka 6 sasa lakini amekuwa akifanya muziki wake akiwa kitandani,na zaidi sasa amekuwa ni producer...
Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake.
Mama amefungua mipaka.
Wawekezaji wameanza kumiminika.
Mikataba ya Trillioni za pesa...
Netflix Inc inasema mfumuko wa bei, vita vya Ukraine na ushindani mkali vilichangia upotezaji wa watumizi kwa mara ya kwanza katika zaidi ya muongo mmoja na kutabiri hasara kubwa mbele, kuashiria...
Siku P.DIDDY Akiimba ngoma kali kuizidi hii COMING HOME naombeni mnishtue wadau...
P.DIDY FT SKYGRAY, DIRTY MONEY__COMING HOME[emoji119][emoji119]
Hii vesi...
1. KONTAWA
2. NACHA
3. BANDO MC
4. MANENGO
Hawa ni baadhi ya wakali wa michano wanaostahili kupewa support na heshima kwa uwezo wao mkubwa wa
Lyrics kali
Styles kali
Kunata na beats
Naomba kuwa specific kwenye kipaji nilichonacho cha muziki!
• Kati ya bongo flaver na gospel songs, ni muziki upi ambao naweza kuufanya na nikatoka na kujulikana kirahisi?
• Vipi kuhusu namna...
"Oya kijana"
"Naam bro, karibu"
Alifungua mlango kama haamini vile
"Aisee tumshukuru raisi wa awamu ya sita, anaupiga mwingi, Nimeweza kukuta nyumbani leo, yuko kazini..."
"Yuko site unaambiwa...
Wakuu salamu.
Kuna picha ya Rais Samia inasambaa mitandaoni ikimwonesha yupo na mzungu mmoja hivi.
Watu wengi wamekuwa na maoni negative kuhusiana na hiyo picha?
Je,kwa mtazamo wako ukiitazama...
kati ya Tamthilia za Bongo inayoongoza kwa UONGO ni hii ya HUBA
DEV kapigwa Risasi yupo ICU lakini TESA kama Mama yake DEV Anaonekana hajapata Mshtuko wowote Kaenda Hospital kajivalia SUTI...
Whatsapp no. 0629980412
Email: ommyboytz30@gmail.com
( SEHEMU YA 01 )
[emoji24][emoji3064][emoji174][emoji91]
Kwa majina naitwa Witness Kijeba, ni mtoto pekee wa mzee Kijeba na bi Kijeba. Mimi ni...
Na Michael Mngumi
Nataka kuwa mpanzi katika nchi ya kigeni. Nataka kuipanda mbegu ya mtende katika shamba la ngano. Nilikuwa nikiyakumbuka maneno aliyosema marehemu babu yangu asubuhi moja...
1. Love and other drugs
Jamie Randall, a pharmaceutical sales representative finds love in Maggie, a young woman who suffers from early-onset Parkinson's disease, just as his career begins to...
Sijajua kwa serikali ya Tanzania kama wameanza kuwekeza kwenye filamu kuionyesha dunia ni kwa namna gani Watanzania tulivyo, serikali ilivyo kwa wananchi wake, bado sijajua.
Kwa Marekani...
1. Ed Sheeran - Thinking Out Loud
2. Whitney Houston - I Will Always Love You
3. Taylor Swift - Love Story
4. Aerosmith - I Don't Want To Miss A Thing
5. John Legend - All Of Me
6. Sam Smith - I'm...
Kama ni series bora basi naweza kuitaja Game of thrones,Prison break na 24 au Once upon a time ya mheshimwa Rumple stiltr skin na hii ni kutokana na mpangilio wa story matukio ubora wahusika...
Wanabodi karibuni sana twende pamoja kwenye Riwaya hii:
JINA : PENZI HARAMU
MWANDISHi: ZAWADI B LUPELO
Karibu
SEHEMU YA KWANZA
Ndani ya ukumbi wa Black Lord Hall majira ya usiku watu wa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.