Unapokuwa na maono ya kufanya shughuli yoyote inayohitaji ubunifu na manufaa makubwa, jaribu kuwaona waliowahi kufanya shughui Kama hiyo ili wakuelekeze inafanyikaje!
Nimestaajabishwa sana...
Wimbo uliosumbua mtandaoni hasa youtube kwa kuwekwa kipande kwa miaka 2 iliyopita hatimaye unazinduliwa. Muimbaji unaweza kuwasiliana kwa namba yake ya Simu
Hivi unaanzaje kwa mfano!!
Yaani Messi umfananishe na Kichuya kweli?! Haiingii akilini!
Niseme tu, mimi ni mmoja kati ya watu tulioangalia series hizo zote 2 na sioni kama ubora ama uzuri wa The...
It was worth the wait kusema kweli.
Series ambayo imekamilika kila idara yani inakufanya utamani kuangalia dakika inayofata nini kitatokea. Natamani mpaka wangekua ni watanzania jamani daah...
Angekuwepo kalikawe huu ukweli angeusema ila mondi wa tandale ameamua kukaa kimya.
Leo nimemkumbuka huyu msanii mwanaharakati na mwanasiasa Mzalendo baada ya ukimya wake wa muda mrefu tangia...
Kwa taarifa fupi tuu hii ni bonge moja la series niliitazama zamani kidogo nikaishia kati kutokana na sababu nyingi ila sasa ndio natazama hapa..
Huu mzigo umesimama....
Huu wimbo ulinitoa machozi, jina limenitoka. Umeimbwa na marehemu God Zilla, Fid q na mwingine nimemsahau, nisaidieni unaitwaje? Biti lake linahuzunisha sana. Please nisaidieni.
Nakiri sijui na...
1. LOI : koffi olomide
(intro)
Amingizile, ba yaya amingizile
Amingizile, ba yaya amingizile
Nge u mvuata wayiza, wasi sameno
Kala i ngangu ngowu mwe bai ka sakane eh
2.ANDRADA : koffi...
Kwema Wakuu
Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri.
Nimeona watu...
Video zake NImeziona tik tok na istagram unaweza kuzitafuta.
Ingekuwa Nchi nyingine angeshakuwa super star ila kwetu nimekubali Sanaa ya ukweli na mziki mzuri bado haufahamiki kwa watu wengi...
Series Ya Squid Game Imefanikiwa Kuingiza Takriban Dola Za Kimarekani Milioni 900 Ikiwa Ni Zaidi Ya Trilioni 2 Tshs Ikiwa Na Mwezi Mmoja Tu Tangu Itoke Rasmi.
-
-
Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa...
Nyota wa 'bluez' kutokea nchini Canada Celine Dion leo anasherehekea kutimiza umri wa miaka 54. Nyota huyo alitamba na wimbo wa "My Heart will still go on"
Kuna nyimbo nimewahi kuwa nayo kwenye Kanda yangu iliyoimbwa na Mh Temba nachokumbuka jina ni kama kifo ila kila nikitafuta huko google sipati nyimbo hii.
Mfano wa mistari yake ni pale...
Hii Movie Imeongozwa Na Jamaa Fulani Hivi Anaitwa Mandla Dube Na Imetokana Na Historia Ya Kweli Kabisa Iliyotokea Huko Silverton, Pretoria Nchini South Africa Mwaka 1980
Humu Ndani Tutawaona...
Marshall Mathers aka slim shady aka eminem aka the most overrated rapper alive
I mean lets call a duck what it is
Huyu jamaa watu wanasema anamzidi Lil wayne n a kendrick lamar
Mimi nasema...
Ni majira ya asubuhi maeneo ya maporini, binti mmoja mwenye asili ya watu wa Brazil anaonekana akiwa anatembea polepole.
Hali ya hewa ya upepo inamfanya binti huyu atumie mkono wake kuzirudisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.