Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Embu kila mtu aweke nyimbo zake ambazo zinazombamba!!!!!! Zangu... 1.Murder she wrote-Shabba ranks. 2.Always be my baby-Mariah Carey. 3.Single boy&Single girl-Ali kiba& 4.Calfornia...
5 Reactions
60 Replies
5K Views
Zamani nlikuwa namwona Fiq Q ni mmoja ya wasanii wanaojielewa....nlidhani kichwani ana akili. Fid Q kama upo humu. Kwa kweli nlikuwa namkubali sana.. Ila hili sakata la Steve Nyenyere limenishtua...
1 Reactions
5 Replies
851 Views
Mwanahiphop: Ni B Boy (Mvunjaji) anayevunja na kuharibu mazingira Hadi kiroho kila siku. Ni MC (Mchanaji) shujaa wa maneno ya kujenga kiroho na kiakili Ni Graffiti (Machata) anaefikiri na kukua...
1 Reactions
1 Replies
380 Views
Youtube kuna full movies nyingi sana. Nyingi za zamani na chache mpya. Ni wewe na bando lako tu, na uzuri youtube haili bando kivile. Mi napenda kutembelea channel inaitwa Wu Tang collection...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Mwenye kujua maana ya Huu wimbo aniambie naupenda Sana
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi Habari za mihangaiko na poleni. Moja kwa moja kwenye mada. Sanaa ya muziki ina nguvu kubwa sana, inapenya mioyoni na inaathiri hisia moja kwa moja. Kwa kulitambua hili, nawaalika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninasikiliza Kipindi cha 'zilipendwa', basi nimesikia Mkasa ulio nyuma ya wimbo wa Georgina wake Marijan Rajab. Wimbo huu ni mkasa wa kweli. Mapenzi shuleni. Marijan yaelezwa alikuwa...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Mara ya kwanza kupenda game ilikuwa 2010 na nilivutiwa sana na game kwa jina call of duty. Trela zake kuna maneno ambayo kama ya mebeba ukweli ambayo sasa yanatumika mfano *Game; Call of Duty 4...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati Pambano Baina Ya Twaha Kiduku Na Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) Limeanza Wengi Waliona Dulla Mbabe Atashinda Kutokan Na Rekodi Zakupoteza Katika Pambano Lililopita Ambalo Aliona Hakustahili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This song is so powerful. Huyu dada sijui alipotelea wapi.
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mama alipotea ghafla tu tena katika mazingira ya kutatanisha. Licha ya kutafutwa sana hawakufanikiwa kumpata, Lakini baada ya muda akarudi. Lakini karudi akiwa sio tena kama alivyokuwa mwanzo...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
I CHEATED ON MY WIFE Episode 1 I woke up that morning to get ready for work, it has become a ritual for me. A normal routine that I indulged every day. My wife was still in bed beside me. I...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Steve Nyerere ametajwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania, haifahamiki aliyemteua kwenye cheo hicho ni nani, vigezo vilivyotumika kwenye uteuzi huo haramu havijulikani, wala malengo ya...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimeanza kuangalia series kwa mala ya kwanza 2018 na kuimaliza yote, nilianza na series hii.. YOU (2018). Kipindi cha nyuma ilikua nimwendo wa single movies tu. nakumbuka ilikua 2016 nikajaribu...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Maya ni mwandishi wa Habari maarufu, Umaarufu unatikana na namna anavyo pambana kutoa taarifa za kina na ndani sana pamoja na uwazi kwenye tasnia ya habari. Akiwa nyumbani Maya ni mama wa mtoto...
1 Reactions
0 Replies
622 Views
Wana mazimaombwe wanne hatari kusanywa pamoja na mtu asiyejulikana ambaye huwapa mipango ya wizi. Mwaka mmoja baadae, wanajiita "The Four Horsemen",wanakuja na show ya mazingaombwe inayo vunja...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
TBT
Wana JamiiForum mko powa Baada ya salamu leo turudi nyuma kidogo kwenye Lile goma la Ferooz lakuitwa Boss Ingekuwa ni wewe ungeamua nini katika mawili ambayo jamaa alikuwa akishauriwa 1...
1 Reactions
0 Replies
949 Views
Diamond platnumz anachowazidi wasanii wengine wa bongo ni kufanya promotion kwenye kazi zake jamaa anafanya poa sana ndio maana nyimbo zake zinafika mbali.
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale walizoziona prison break au breaking bad Naomba mnisaidie kunitajia movies zingine zenye maudhui kama yale.. Yaani akili nyingi,uharifu,ubabe n.k
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom