Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu.
Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za...
Katika kanda ya Video iliotokea katika mtandao wa kijamii wa YouTube, diamond alitokea wazi na kuelezea ni kwanini alizungumza na mama watoto zari aka Boss Lady licha ya kuonyesha dalili ya...
Naomba niwasalimu wote mliomu humu... Kwanza kabisa naomba niwape taarifa ya juu ya mchezo wa leo kati ya Simba na Yanga.
Kuna njia nyingi huwa zinatumika kupanga matokeo katika michezo hasa...
Ngoma ya Essence ya Star Boy imeuza mauzo ya Double Platinum ndani ya U.S.A.
Hakuna ngoma kutoka afrika iliyowahi kufanya hivyo ndani ya Marekani.(double platinum)
Kuna cha kujifunza hapa...
Nasibu Abdul Juma Issack, popularly known by his stage name Diamond Platnumz, is a Tanzanian bongo flava recording artist, dancer, philanthropist and a businessman of Ha heritage. He was born and...
Juzi wizara husika kwa kushirikiana na vyombo vengine vya kisanaa vilitangaza shortlist ya majina wanaogombea tuzo mbalimbali ikiwemo tuzo za wasanii bora wa muziki Tanzania.
Kinachoshangaza...
Karibu wote wamezeeka sana, leo nimepata taarifa kwamba Churck Norris ametimiza miaka 82! Ukifuatilia utagundua Anord Schwazenigger, Van Dame na wengine kibao ni zaidi ya miaka 70, Hivi ni nani...
Wengine wanaweza wasikubaliane nami kuhusu hili kwa kuwa kuna wakongwe kama Luambo Luanzo Makiadi, Pepe Kalle, Kanda Bongoman na wengineo ambao walivuma kipindi cha nyuma. Ila huyu mwamba tangu...
Simulizi kutoka kwa Halfani sudy
Inaitwa; Red Butterfly
Mawasiliano; 0652212391
Sehemu ya kwanza
Ulikuwa ni usiku wa saa nane kamili. Usiku tulivu huku kelele za miti na ndege ndizo zikizosikika...
Baraza La Sanaa La Tanzania, Limetoa Vipengele Vya Wasanii wanao Wania Tuzo Za Mziki Tanzania, Pamoja na Majina Ya Wasanii Wanao Wania Tuzo Hizo.
Ni List yenye Vituko Vingi Sana.
Nimeshindwa...
Meneja wa msanii Alikiba akijibu swali la mmoja wa mashabiki mtandaoni aliyeuliza swali la "Kwa nini albam ya Alikiba haiuzi sana mtandaoni pamoja na kuwa anafanya vizuri?
Meneja huyo amejibu...
Soul for Real, is an R&B group from Wheatley Heights, New York, currently living in Atlanta, Georgia made up of brothers Christopher Sherman Dalyrimple a.k.a. Choc, Andre "Dre" Lamont Dalyrimple...
Soul 4 Real, linatambulika kwa ngoma ya "Candy Rain" pamoja na "Every Little Thing I Do".
...
Hi-Five, linatambulika kwa ngoma ya "I Like The Way (The Kissing Game)" pamoja na "She's Playing Hard...
Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao...
wakuu kwema?
Leo nakutana na mtu ananiuliza eti kati ya Juma nature na Diamond nani zaidi? nikamuangalia nikamuuliza una umri gani kaniambia kazaliwa 2002, nikacheka sana halafu ni mbishi mpaka...
UTATU ‘MTAKATIFU’
The Gangsters
HAROLD Jeff, aliacha ghafla kumsikiliza mtu aliyezungumza naye. Alifanya hivyo baada ya kumwona mwanamume aliyekuwa ametoka kwenye lifti iliyopo ndani ya hoteli...
RIWAYA: UKURASA WA TISA
NA: BAHATI K MWAMBA
SIMU: 0758573660/0658564341
Sehemu moja maarufu ndani ya jiji la Dodoma kulikuwa na kundi kubwa la watu pembezoni mwa barabara wakiwa wamesimama...
Mi si mtaalamu wa mpangilio wa sauti kwenye muziki, ila nikisikiliza huu wimbo, naona umepangiliwa vizuri na hauchoshi kuusikiliza; najikuta mara kwa mara naurudia tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.