Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wadau wa JF hususani walio wahenga Nawaletea mashairi ya wimbo maarufu wa mkongwe ayati Jim Reeves uitwao " He'll Have to go" Nimejaribu kupata tafsriri yake nimeshindwa Mwenye uwezo wa...
1 Reactions
1 Replies
619 Views
Wakuu,poleni na majukumu, nimeona sehemu vipande tu ila sijafanikiwa kujuwa jina la movie hii niliyoambatanisha na picha,
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kesho Tarehe 3 December 2021 ndio mwisho wa kuingia kambi ya Miss World baada ya nchi nyingi kupata changamoto ya kuchelewa kupata Visa ya Marekani kwa wakati. Miss World wakaongeza muda na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niliona watu wanaifagilia sana hii series wengine wanaishindanisha na money heist Ukweli ni kwamba tuache ushabiki hii series ni bora kuliko money heist Hii series inaonyesha namna gani mtu yuko...
17 Reactions
95 Replies
10K Views
Kwakweli nimekuwa mpenzi wa muziki sana wa DRC na majirani zake, kiasi kwamba kwa umri nilio nao na hasa vijana wenzangu wananishangaa sana na kujiuliza maswali mengi. Tokea nikiwa mdogo baba...
4 Reactions
64 Replies
8K Views
hii series ukimaliza yote na japo inaendelea toka s1-9. kiukweli wajapani wanasoma ulimwengu ulivo kuliko sisi tunavo jisoma. ukisikia mtu kuwa jambazi,mkatili,mfanyabiashara,tamaa,kuchoka...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Hatukatai kurusha matangazo ya biashara, kinachoboa ni bandika bandua ya matangazo tu mwanzo mwisho for a long long time. Kinachoboa zaidi tangazo lilelile ulilolisikia sekunde iliyopita...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Huyu mwanamama kama uliangalia john wick 3 basi wewe sio mgeni wa halle berry yule mdada anayepigana na mbwa wake fight like hell Filamu ya bruised Jack justice mpambanaji mzuri wa Mchezo Ngumi...
3 Reactions
11 Replies
915 Views
Kuna zaidi ya siku 10, Crowned Miss Tanzania hajafika huko Puerto Rico, wanzake wameshafika na wanaendelea na kambi kwa nini miss wetu hajafika mpaka muda huu?simply hawaelewani na uongozi...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nije kwenye point, mwaka 2016 nilipatwa na balaa baada ya kuanzisha mahusiano na mwanamke ambae ni jini bila kujua. Kipindi hicho nilikuwa nipo Morogoro...
7 Reactions
119 Replies
21K Views
MSITU WA SORONDO Mtunzi Richard Mwambe Simu 0754740668 1 Chau cafe Chau cafe Amata Ga Imba aliendelea kunywa kahawa yake polepole kana kwamba hana shughuli nyingine ya kufanya kwa siku hiyo...
11 Reactions
146 Replies
32K Views
Natumaini wote ni wazima humu jamvini poleni na majukumu pia..! Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mm ni mpenzi sana wa Ngoma za Hiphop leo na taka tushare pamoja kuhusu Rappers wa kibongo hata...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
TAMTHILIA: CHALLENGE MADE MUANDISHI: WINIFRIDA FRANCIS THOBIAS SEHEMU: 3 $ 4 WhatsApp: 0746115688 Baada ya walinzi hao kuuliza hali ya bosi wao grace, grace aliwaambia yuko powa na hawana muda wa...
2 Reactions
4 Replies
940 Views
Morisson hayupo,Fair Competition iko wapi hapa[emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38] [emoji860]Kolo mmoja analalamika hapa jirani yangu,sijui nimjibu nini? Makolo Bwana[emoji2][emoji38][emoji38]
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Wakali wa hit Amapiano ya John vuli gate (Mapara A Jazz) kwa mtazamo wa kiutafiti yawezekana wakawa ndio kundi cheap na rahisi kupatikana compared na makundi yenye mfanano na wao kutoka bondeni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ndio list ya waimbaji bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania katika Bongo Fleva (Waimbaji na sio rappers) Without particularly orders Mr Nice Mr Paul Feruz TID Q Chief 20 percent Dully sykes...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
TAMTHILIA: CHALLENGE MADE SEHEMU: 2 MUANDISHI: WINIFRIDA FRANCIS THOBIAS Jackbosi alishangaa sana kumuona mtu anaefanana nayeye katika hospitali ambayo yeye pamoja na washirika wenzie wamekuwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Arrrrrlight Asante sana Aaahhh nistairi Moja tena maridadi zaidi tunakwingilia kaskazini mashariki kusini mwa India tunakutana na alie starling kwenye HOLO SINEMA..... [emoji23][emoji23][emoji23]
5 Reactions
14 Replies
1K Views
[Chorus] Mboka epanzani sango ee ee [The town is spreading rumours about me] Mboka epanzi ngai sango, balobi.. 'akoti lopitalo ee] [They are saying 'he is in hospital'] Balobi.. 'bamoni ye nga...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Usiku wa Kihistoria wa DDC Mlimani Park. Sikinde Ngoma ya Ukae Reunion of Comrades Hassan Rehan Bitchuka Benovila Antony Maximilian Bushoke Wakutana pamoja usiku huu wawNovemba 20, 2021 Kisuma...
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom