Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Tarehe 12 mwezi huu filamu mpya inayokwenda Kwa jina la RED NOTICE imeachiwa ikiwa imetengenezwa na NETFLIX. Filamu hii Una wataalam watatu wakali Dwayne Johnson, Ryan Reynolds na mwanadada Gal...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari watu wa taifa tukufu linalotetewa na timu ya Simba pekee kimataifa kila mwaka! Basi katika medali ya muziki hapa nchini na duniani kwaujumla ulishawahi kutokea kuupenda wimbo flani...
1 Reactions
6 Replies
792 Views
Nimekwazwa na kilichotokea kwa wasanii kufurumushwa uwanjani pasipo kutumbuiza na pia kuonekana kama watu waliokuwa wamevamia shughuli licha ya kuwavalisheni mavazi yenye uwiano wa rangi na jeshi...
0 Reactions
3 Replies
858 Views
Mwaka huu nimemuona John Cena kwenye movie mbili. Suicide Squad na vacation friend. Amejitahidi sana bado japo kufikia level za kina The Rock. Nadhani mchezo wa mieleka unawandaa vema sana...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Habar wadau Money heist imetoka janq dea 3 sasa mwenye link naomba aweke nidownload nione profesq atqvyomalizana na captqin sagata Tokyo dead Helaink kaumia mguu Atockholm upo adicted...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Kuna umuhimu mkubwa wa kufundishwa diplomasia kwa kila mzungumzaji kwenye hadhira iliyo na watu wa mataifa mbalimbali. Unaweza kudhani unachekesha watu kumbe unaharibu. Public speaking is an...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa wale wafuatiliaji wa series ya hawkeye leo tarehe 8 dec 2021 wameachia episode ya 4 ndani ya series clint amekutana na kate bishop huyu binti naye anakiwasha kwelikweli. Episode ya 5 inatoka...
1 Reactions
11 Replies
994 Views
Habari wakuu hii site inasifika kwa kupata movie au series kwa mb chache,bt kuhusu quality ni mbaya sna sijajua kama mm ndie nakosea nilijaribu kupakua season ya see episode moja kwa kwa option...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kichwa cha mada chajieleza nimefanikiwa kumiliki nyimbo kadhaa za kikongo (Zaire) za wasanii kadhaa ambazo natarajia kupitia uzi huu nitaanza kuzidondosha hapa kadri nitakapopata bando. Wasanii...
7 Reactions
66 Replies
20K Views
Mwaka juzi diamond akiohojiwa alisema kwamba anawazo la kuanzisha kampuni ya kubet lakini watu wengi walimcheka na wengine kumdhihaki kwamba hana huo uwezo leo hii rasmi ameitambulisha kampuni...
5 Reactions
6 Replies
4K Views
Kama unakumbuka ni mwaka 2019 tu hapo ambapo Kevin Hart alikuwa na ndoto yake kubwa tangu udogoni ya kuja kutangaza kwenye Tuzo kubwa za Oscar. Wakati Tuzo zikiwa zimekaribia, bahati mbaya ama...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
list yote kwenye picha hapo Bila kusahau wameachia series ya hawkeye clint (jeremy renner) kakiwasha kwelikweli nipo episode ya 03 nazani wanaachia moja moja alafu sasa jamaa kumbe alipata shida...
2 Reactions
1 Replies
837 Views
Wakuu habari zenu, naomba kujua ratiba ya kutumbuiza ya band ya inafrika band hasa mwisho wa juma huwa wanapiga hotel/mahali gani.?!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
SIMULIZI FUPI: NISAMEHE KABURI Amakweli neno ninge huja wakati tayari tumechelewa. Naam! Nami najikuta nasema ningejua! Japokuwa najisikia vibaya sana kutumia kauli hiyo! Nazungumza nawe...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
American Top 40 [December 4, 2021] ====================================================== LW TW Artist-Title Peak So Far Weeks at #1 Weeks On 39 40 The Weeknd - Save Your Tears 01 [2 weeks @ #1]...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Wasalaam, mimi ni mfuasi wa Hip hop(Underground) na leo natumia haki yangu kikatiba kumtaja Msanii bora wa mziki huu kwa sasa hapa Tanzania. Dizasta.....Kutoka kundi la Panorama,kwa sasa anafaa...
5 Reactions
32 Replies
7K Views
Binafsi sijaona alipokosea huyu dogo mpaka nyie mnaojiita majaji mumcheke na kumkejeli kiasi hiki. Kwanza dogo hajapewa pace ya kuweza kufanya alichokusudia, yani ile ametoa sauti tuu majaji wote...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Tanzania sijaona MC mbunifu kama huyu jamaa,baada ya kufatilia video zake nyingi nimegundua hata Anord Kayanda Alikua na style hii. Huyu jamaa nimemkubali zaidi kwa sababu anapenda rege kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msanii Stamina ametoa album yake yenye nyimbo 13. Kati ya hizo kuna wimbo unaitwa Nambie ameimba na Linah. Kwenye wimbo kuna mstari wenye utata na maneno ya kejeli kwa Yesu. Anaimba anasema...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Wazungu husema hivi "Once is an accident, twice is a coincidence and thrice is a pattern Ule ukanda wa Afrika Magharibi wana kitu cha ziada ambacho nadhani hakionekani lakini kipo tu. Ukifuatilia...
13 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom